Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Shida iko kwa anayeisimamia hiyo mahakamaWatanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo.
Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
Hapo kwenye kumougopa Mungu sio kweliWatende haki, wazingatie viapo.
Wamuogope Mungu.
Nimeitishaje mahakama binamu yake Katuga?Subiri hukumu usitake kuitisha mahakama
Rostam alishasema kuhusu utendaji wa hizi mahakama za Tz...Watanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo.
Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
Inajulikana pia. Na wenyewe wametia nta masikioni.Rostam alishasema kuhusu utendaji wa hizi mahakama za Tz...
Unadhani mahakama inafanyia kazi vitisho vya JF?Nimeitishaje mahakama binamu yake Katuga?
Hapo nimeitishaje sasa? Au hujui maana ya kutishia?Unadhani mahakama inafanyia kazi vitisho vya JF?
Ni matumizi mabovu ya na.Waweke kwenye uji wanywe.Inajulikana pia. Na wenyewe wametia nta masikioni.
Uhuru wa Mahakama unapimwa kwa Kesi moja ya Tobo Lissu?Watanzania kwa hofu wanaongea kama wananong'ona lakini wakisemacho kuhusu mahakama ya Tanzania kinatoa mwangwi wenye kishindo.
Jee mahakama inasikia wakisemacho wananchi kuhusu uhuru na weledi wa mhimili huo kwenye kufanya maamuzi yenye maslahi kwa Taifa letu?
Tobo ndiye yupi huyo?Ametajwa mtu kwenye uzi?Usikariri mambo ujioneshe uzuzu wako.Uhuru wa Mahakama unapimwa kwa Kesi moja ya Tobo Lissu?
Wapi nimeandika habari za kesi ya Tundu Lissu? Hizi akili zenu zinaendeshwa na mitambo pale Lumumba?Uhuru wa Mahakama unapimwa kwa Kesi moja ya Tobo Lissu?