Mahakama mnapaswa kujitathmini sana

Mahakama haijatengua uamuzi kwa kukosekana kwa ushahidi. Wametengua hukumu kwa sababu yq tafsiri ya kifungu. Ushahidi ulikuwepo na ulijitosheleza
Kama unayo, weka hiyo hukumu hapa twende nayo step by step.

By the way, hata huko kutengua hukumu kwa sababu ya tafsiri ya kifungu nalo ni jambo la kawaida, hao mahakimu/jaji wakati mwingine hupitiwa kibinadamu, wao sio miungu wasikosee.

Haya mambo ya sheria siku zote huwa wanatoa hukumu kwa kuangalia sheria inasemaje, na fact [ hapa zaidi ni uwezo wa kuishawishi mahakama ikubaliane na hoja yako].
 
pole ndg umeumia sana.
 
pole ndg umeumia sana.
Mahakama ya Tanzania hawajielewi kabisa! Hawajijui kuwa wao ndo sauti ya mwisho kwenye kutoa haki! Hawajui pia wana mchango mkubwa sana katika kuhakikisha jamii yetu inakuwa ya kistaarabu sema ndo hawajitambui
 
Hukumu ile ingeachwa ibaki vile ingefungua wenyewe wanasheria wanaita "pandora box". Wakati mwingine wisdom hutumika sana kwenye hizi mahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…