Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, huyu mwamba ndiyo basi tena kwenye ndoto zake za kuwania Urais japo hatujui ya Mungu mengi.
Nchini Kenya mahakama ya juu haifati mkumbo wala power of the power inafata sheria na miongozo siyo sisi bongo. Mungu ibariki Kenya ila Tanzania lolote litupate maana raia hatujielewi tumekubali kuburuzwa.
====
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Mkuu Martha Koome, baada ya kupitia pingamizi la aliyekuwa Mgombea Urais Raila Odinga na kusema uchaguzi ulikuwa halali.
Ruto ataapishwa Septemba 13, 2022 kuwa Rais wa 5 wa Kenya.