Mahakama nchini Kenya yatupilia mbali hoja za Raila Odinga

Mahakama nchini Kenya yatupilia mbali hoja za Raila Odinga

Wajaluo Kenya hapawapendi, Rudin kwenu Nigeria 🇳🇬
 
Nadhani huyu jamaa ni mmoja wa mawakili wa muzee nimemsikiliza, amekubali mahamuzi ya mahamaka ila kasema bado mahakama imetoa hukumu kisiasa so wanapanga kwenda juu zaidi.

Na ametoa mfano huko marekani kuna kesi ilienda miaka mingi na baadae iligundulika mahakama ilikosea kutoa hukumu.

Screenshot_2022_0905_140125.jpg
 
Mahakama ya juu nchini Kenya imebariki ushindi wa Rais mteule wa nchi hiyo,William Ruto baada kutoa uamuzi wa maombi ya kikatiba...
 
Nadhani huyu jamaa ni mmoja wa mawakili wa muzee nimemsikiliza, amekubali mahamuzi ya mahamaka ila kasema bado mahakama imetoa hukumu kisiasa so wanapanga kwenda juu zaidi...
James Orengo
 
Bottom Up, Hustler, President Of Kenya Republic
William Samoe Arap Ruto
Wengine Watangoja Sana Maana Kifuatacho Ni Kiapo
 
Nadhani huyu jamaa ni mmoja wa mawakili wa muzee nimemsikiliza, amekubali mahamuzi ya mahamaka ila kasema bado mahakama imetoa hukumu kisiasa so wanapanga kwenda juu zaid...
Kesi ndio imekwisha hiyo,huyo akatafute kazi nyingine,alikula hela za Mzee Odinga,anaogopa kudaiwa.Katiba ya Kenya iko tofauti na U.S.A.
 
Sasa ni Rasmi Ruto ataapishwa ndani ya wiki 1 baada ya mahakama ya juu kuthibitisha kuwa alichaguliwa kihalali na hapakuwa na mizengwe wala dosari yoyote.

Raila hana budi kumpongeza Mhe. Rais Wiliam Ruto, Rais wa 5 wa Jamuhuri ya Kenya.
Kwa wanaomfahamu WSR ni rasmi sasa kuwa
  • Uporaji ardhi umehalalishwa
  • Ukandamizaji wa wafanyabiashara wa central Kenya unaanza
  • Kikuyu mafia wamepata competitor anawatosha- Uhuru uhuru and co!
  • Sasa Mahindi ya Tz hayatasingiziwa kuwa yana aflatoxin tena bali hayawafai wakenya.
  • Billionea Ruto aliyoupata ubilineo kwa muongo mmoja tu sasa atakuwa trilionea.
Watanzania sheria ya ardhi chonde chonde wageni marufuku!
The landgraber is officially a citizen no.1 of Kenya.
Soon Kenya zinaenda kupigwa tena!
 
Na wewe uliamini kweli?

Hii ni Afrika ndugu!
Acha false generalizations, hakuna kiru kama Africa. Afrika kusini haijawa hivyo licha ya Zuma kufunngwa. Kenya, former CJ yu hai licha ya kufuta uchaguzi wa Kenyata. Rwanda, wapo vizuri kielimu licha ya vita vya muda mrefu, Uswatini, wanakaa almost naked ( kwa kwetu) lakini wao ndo kwanza wanacheza hata ngoma hadharani. Yanajotokea Tz usiseme ni ya Afrika, NO!!!
 
Tuto won squarely and Raila knows this fact! What he was doing was just to try to save his face!! Hopping in the court process he may be lacky enough to to pick up some irregularities and try to capitalize on them!
 
Mahakama ya Juu nchini Kenya imeidhinisha Uchaguzi wa William Ruto kuwa Rais Mteule wa Kenya baada ya kesi iliyowasilishwa na Mpinzani wake katika Uchaguzi huo Raila Odinga kukosa ushahidi wa kutosha.
 
Kesi ndio imekwisha hiyo,huyo akatafute kazi nyingine,alikula hela za Mzee Odinga,anaogopa kudaiwa.Katiba ya Kenya iko tofauti na U.S.A.
TODAYS Kuna vitu bado wanaweza kupigania mahakamani ili kuifanya tume na njia za uchaguzi ziboroshwe zaidi kwa ajili ya uchaguzi wa siku zijazo.

Hamaanishi kuendelea kupinga matokeo. BTW wanasheria wa Kenya na mahakama kwa ujumla iko mbele kabisa kulinganisha na huu uchafu wetu.
 

Msumari wa moto
 
Back
Top Bottom