Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kwa vile haiko judiciary siyo compromised, nakubali kuwa hukumu ni ya haki. Siyo Tanzania.Kweli kifo cha Nyani miti yote huteleza huyu mwamba ndobasi tena kwenye ndoto zake za kuwania urais japo hatujui ya Mungu mengi. Nchini Kenya mahakama ya juu haifati MKUMBO wala power of the power inafata sheria na miongozo sio sisi bongonyoko. Mungu ibariki Kenya ila Tanzania lolote litupate maana Raia hatujielewi tumekubali kuburuzwa.
Uzuri Ruto alishasema hatolipa kisasi kwa yeyote.View attachment 2346384
Picha hapo juu ni mwana dada ambaye ni naibu wa mkuu wa tume ya uchaguzi huko Kenya.
Ndugu zangu kwa tawala zetu za kiafrika za kukomoana huyo dada ataishije pale Kenya kwa namna alivyompinga waziwazi bwana Ruto?!
Kuna watu siku hizi wanaitwa MACHAWA ni hatari sana na wameanzia TANZANIAUzuri Ruto alishasema hatolipa kisasi kwa yeyote.
Na wewe uliamini kweli?Uzuri Ruto alishasema hatolipa kisasi kwa yeyote.
Rais mpya Safari mpya mambo yaleyale
Tumuombe Mungu aibariki Africa sasa
Udini unachanganywa na siasa.Heko kwake, mlokole mwenzetu