Mahakama nchini Kenya yatupilia mbali hoja za Raila Odinga

Mahakama ingeonekana ya ajabu kuendelea kupoteza muda na huyu mzee, uchaguzi uliopita alipinga na uliporudiwa akagoma kushiriki.......yeye abaki kulea wajukuu amwachie Ruto ambaye ni kijana asukume mbele gurudumu.
 
Tume ya uchafuzi Tz mmeona haki ilivyoyendeka huko Keee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…