Mahakama ya Cameroon yamzuia Mpinzani wa Rais Paul Biya kugombea urais

Mahakama ya Cameroon yamzuia Mpinzani wa Rais Paul Biya kugombea urais

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Mahakama ya Katiba nchini Cameroon imemzuia mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa Maurice Kamto kugombea urais dhidi ya Rais Paul Biya, ambaye ana miaka 92 na amekuwa madarakani tangu 1982!

1754464708382.png
Mahakama imesema Kamto amechelewa kuwasilisha maombi ya kuwania urais kupitia chama kipya cha MANIDEM

Kamto alihama chama na kuwasilisha fomu “baada ya muda” kupitia chama kipya – licha ya kuwa ndiye aliyeshika nafasi ya pili baada ya Biya katika uchaguzi wa 2018.

Source: Dwswahili
 
Tunashukuru mungu Tanzania hatujafikia level hio . democracy kwetu walau Iko vizur
 
Mahakama ya Katiba nchini Cameroon imemzuia mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa Maurice Kamto kugombea urais dhidi ya Rais Paul Biya, ambaye ana miaka 92 na amekuwa madarakani tangu 1982!

View attachment 3433394
Mahakama imesema Kamto amechelewa kuwasilisha maombi ya kuwania urais kupitia chama kipya cha MANIDEM

Kamto alihama chama na kuwasilisha fomu “baada ya muda” kupitia chama kipya – licha ya kuwa ndiye aliyeshika nafasi ya pili baada ya Biya katika uchaguzi wa 2018.

Source: Dwswahili
Revolution ignites when the dispossessed young realize their existence holds no stake in stability. History's most volatile element is not gunpowder but the terrible mathematics of men who calculate they have more to gain from chaos than from order.
 
Wamuache tu biya afie hapo, huyu mpinzani wake ajiandae kushika dola kiulaini kabisa muda si mrefu, and you all know why.
 
Wale wajinga wanaosema hakuna haja ya kubadilisha uongozi kwamba mtu moja ni vema atawale milele eti ndio nchi inapata maendeleo sasa watuambie Cameroon ambapo mfalme Paul Biya ametawala kwa miaka 43 ina maendeleo gani kuizidi Japan ambayo katika kipindi hicho wamebadilisha viongozi takriban 30.
 
Back
Top Bottom