tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Revolution ignites when the dispossessed young realize their existence holds no stake in stability. History's most volatile element is not gunpowder but the terrible mathematics of men who calculate they have more to gain from chaos than from order.Mahakama ya Katiba nchini Cameroon imemzuia mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa Maurice Kamto kugombea urais dhidi ya Rais Paul Biya, ambaye ana miaka 92 na amekuwa madarakani tangu 1982!
View attachment 3433394
Mahakama imesema Kamto amechelewa kuwasilisha maombi ya kuwania urais kupitia chama kipya cha MANIDEM
Kamto alihama chama na kuwasilisha fomu “baada ya muda” kupitia chama kipya – licha ya kuwa ndiye aliyeshika nafasi ya pili baada ya Biya katika uchaguzi wa 2018.
Source: Dwswahili
Tanzania hii ya Tanganyika na Zanzibar au kuna nyingine?Tunashukuru mungu Tanzania hatujafikia level hio . democracy kwetu walau Iko vizur