Gentleman,Tangu kuanzishwa operesheni za usafi ambazo zimegeuzwa kuwa za kukimbizana na Machinga hiyo mahakama ndio imegeuzwa machinjioni.
Watu wanakamatwa na kupelekwa hapo mara utasikia wanataka laki 5, mara laki 4 yaani haijulikani faini halali ni ipi! Ni ujanja ujanja wa kitapeli tu ndio unaoendelea hapo.
Inashangaza dada anayetembeza deli la maandazi na chai kuambiwa alete laki tatu. Mwingine kakamatwa kwa kutupa sigara chini anadaiwa naye alete Laki Tatu.
Mimi naomba kushauri "ziwekwe taarifa rasmi za adhabu na faini kwa makosa mbalimbali" maana huo ndio mwanya wanaoutumia hao maofisa hapo mahakamani kuwapiga raia. Bahati mbaya zaidi hata risiti zenyewe hazieleweki au unakuta zina majina tofauti na mkosaji kuonesha kuwa ni za magumashi.
Kwa akili yako kwa faini hizo za kiwendawazimu kuna hata shilingi moja itaingia huko kwenye akaunti zenu!? Wataishia kula wajanja tu.Gentleman,
unaambiwa usifanye biashara hapa,
kwa makusudi na ujeuri wako useless unakaidi. Ukiguswa unakimbilia kupiga mayowe na kutafuta kiki na public sympathy mitandaoni.
huoni hiyo ni kitu nonsense sana aise? Kua raia mwema anae tii mamlaka na sheria bila shuruti na utainjoy mno biashara yako. Otherwise huna haja ya kulaumu au kulalamika kwa kinachokukuta, hayo ni madhara ya kiburi na ujeuri π
"Bila kujali kinachoendelea"!? Tayari umeonesha ni mpumbavu kiasi gani.Nilikuwa nawatetea wachuuzi lakini matunda yameanza kuoneka ustaarabu wa iliyokuwa Dar enzi hizo unarejea.
Bila viboko hamuendi bila kujali kinachoendelea hapo mahakama ya jiji wasilegeze kamba sasa pavement zinaonekana watembea kwa miguu wana pa kupita sasa.
Hakuna kurudi nyuma na baada a hao kituo kinachofuata ni bodaboda, hawa wanajifanya bangi sana.
Gentleman,Kwa akili yako kwa faini hizo za kiwendawazimu kuna hata shilingi moja itaingia huko kwenye akaunti zenu!? Wataishia kula wajanja tu.
Hata kama mna shida ya pesa, mapato hayatafutwi namna hiyo! Lazima akili pia itumike.
Jinga Jinga kama wewe wasiishie tu kukutoza faini bali utandikwe na viboko juu."Bila kujali kinachoendelea"!? Tayari umeonesha ni mpumbavu kiasi gani.
Ni sawa na kuitesa familia kwa njaa kwa kisingizio kuwa unajenga nyumba!? Ni zaidi ya uwendawazimu. Kweli wewe una PhD...Poor Hair Distribution
Gentleman,"Elimu Mbalimbali"
Haya mambo unaweza ukaona kama utani lakini ni serious. Juzi nilipita kupasha moto Kwa master mmoja wa Kombat π₯. Ile natoka nkakutana na jamaa wamebeba virungu na mashine mkononi wakanisimamisha lakini wakati nasimama nkawakuta watu kama 6 wanaambiwa sisi tunawaonea huruma Bora mtoe hiyo elfu 20 hapa kuliko tukubebe ukaenda kule.Ukifika pale polisi msimbazi utashangaa sana..vijana wadogo wamejazwa sero Ili watolewe wanatakiwa kulipa kuanzia laki na kuendelea bila hivyo wanawekea Hadi mwezi bila kufikishwa mhkamani
Wrong. Mvuta sigara uniambie nitoe laki tatu! Wehu kabisa nyie. Kuna shida ya Akili humo vichwani mwenu.Gentleman,
elimu na taaluma mbalimbali ulizo nazo zikusaidie kufuata taratibu na sheria zilizowekwa na jiji, lakini pia zikusaidie kuacha kiburi na ujeuri useless, ili hatimae usipigwe faini mbalimbali zilizopo na kuja kutafuta kiki na public sympathy JF na itapendeza zaidi, right?π
Ukifika polisi utaichukia sana TanzaniaHaya mambo unaweza ukaona kama utani lakini ni serious. Juzi nilipita kupasha moto Kwa master mmoja wa Kombat π₯. Ile natoka nkakutana na jamaa wamebeba virungu na mashine mkononi wakanisimamisha lakini wakati nasimama nkawakuta watu kama 6 wanaambiwa sisi tunawaonea huruma Bora mtoe hiyo elfu 20 hapa kuliko tukubebe ukaenda kule.
Nilivaa Gi walivyoona hvy wakasema mwalimu umechoka sana na mazoezi nenda kapumzike.
gharama ya kukiuka taratibu na sharia yoyote ile daima ni gharama kubwa na nzito sana gentlemanWrong. Mvuta sigara uniambie nitoe laki tatu! Wehu kabisa nyie. Kuna shida ya Akili humo vichwani mwenu.
Aseeh Kwa upande wangu siwezi ichukia Tanzania ila ntawachukia wanaoiharibu Tanzania.Ukifika polisi utaichukia sana Tanzania
Kuna wale wa Pale Ferry, sijui kama bado wapo, wameziba kabisa ile njia.Nilikuwa nawatetea wachuuzi lakini matunda yameanza kuoneka ustaarabu wa iliyokuwa Dar enzi hizo unarejea.
Bila viboko hamuendi bila kujali kinachoendelea hapo mahakama ya jiji wasilegeze kamba sasa pavement zinaonekana watembea kwa miguu wana pa kupita sasa.
Hakuna kurudi nyuma na baada a hao kituo kinachofuata ni bodaboda, hawa wanajifanya bangi sana.