mahakama ya Kenya inakwenda kumsiriba kabisa na kumsagasaga Gachagua asipumue wala kufurukuta kwenye siasa za Kenya ever 🐒Hiyo ndio habari mpasuko
Ikumbukwe Rais Ruto ameshamteuwa Prof Kindiki kuwa Naibu Rais Mpya
Bunge limesharidhia na Prof Kindiki yuko Saluni kwa hatua za Mwisho kabla ya kwenda kula kiapo
Kenya wametuacha mbali sana🐼
Credit Citizen TV
President has immunity but deputy president hasn'tHow can you impeach the Deputy President who was elected together with the President and then the President remains in power? That is a very childish Constitution.
How can President has immunity? Maana yake uchaguzi wa wananchi kuwachagua hao wawili ulikuwa patili?President has immunity but deputy president hasn't
USSR
Ni balaaKumekucha
Huku si mmechagua kusifu na kuabudu.Kenya wako mbali sana katika demokrasia
Kwa hiyo wwe unataka afande ashitakiwe tu bila ushahidi wowote ule, hao watenda kosa wenyewe wamemkana!!Hapa kwetu hata yule afande wa ulawiti mahakama haimwambii kitu na mahakama Haina Cha kumfanya ,hata asipo enda mahakaman itazungushwa na kupambwa weeeee ,yaan bas tuu
Wametuacha mbali kwenye nini? Ukabila? Fitina? Hiki wanachofanya ni ulaghai mtupu labda kujaribu na kuweka presedence tu kuwa waliwahi kumfuta kazi DP. Hii ni katiba ya hovyo sanaHiyo ndio habari mpasuko
Ikumbukwe Rais Ruto ameshamteuwa Prof Kindiki kuwa Naibu Rais Mpya
Bunge limesharidhia na Prof Kindiki yuko Saluni kwa hatua za Mwisho kabla ya kwenda kula kiapo
Kenya wametuacha mbali sana🐼
Credit Citizen TV
Sasa mbona Chadema wanasema tuwaige? Hapa nilipo nimechanganyikiwa sijui nimsikilize nani😎Siasa za kenya ni za Kipumbavu sana,...
Chadema pia wana siasa za Kipumbavu tu, ila sisi kama watanzania tuna siasa za kibwege sana.Sasa mbona Chadema wanasema tuwaige? Hapa nilipo nimechanganyikiwa sijui nimsikilize nani😎
Sababu za kupinga maamuzi ya bunge ni Nini?Ila mahakama za Kenya ziko so powerful, hii ni mara ya pili nashuhudia mahakama nchini Kenya ikipinga maamuzi ya serikali.