Mahakama ya Juu yasitisha kwa muda uamuzi wa Seneti kumwondoa Gachagua na Uteuzi wa Naibu Rais mpya

Mahakama ya Juu yasitisha kwa muda uamuzi wa Seneti kumwondoa Gachagua na Uteuzi wa Naibu Rais mpya

Hiyo ndio habari mpasuko

Ikumbukwe Rais Ruto ameshamteuwa Prof Kindiki kuwa Naibu Rais Mpya

Bunge limesharidhia na Prof Kindiki yuko Saluni kwa hatua za Mwisho kabla ya kwenda kula kiapo

Kenya wametuacha mbali sana🐼

Credit Citizen TV
mahakama ya Kenya inakwenda kumsiriba kabisa na kumsagasaga Gachagua asipumue wala kufurukuta kwenye siasa za Kenya ever šŸ’
 
How can you impeach the Deputy President who was elected together with the President and then the President remains in power? That is a very childish Constitution.
 
IMG-20241018-WA0067.jpg
 
How can you impeach the Deputy President who was elected together with the President and then the President remains in power? That is a very childish Constitution.
President has immunity but deputy president hasn't

USSR
 
President has immunity but deputy president hasn't

USSR
How can President has immunity? Maana yake uchaguzi wa wananchi kuwachagua hao wawili ulikuwa patili?

Childish Constitution

Ina maana gani sasa ya kuwa na mgombea mwenza? Kwanini asipige kampeni President pekee yake kisha deputy president baada ya uchaguzi anateuliwa?

Zipo technicality nyingi tu zinazoonesha utoto wa kaitba ya kenya.
 
Mahakama Kuu nchini Kenya imezuia kung'atuliwa madarakani Naibu wa Rais wa nchi hiyo, Rigathi Gachagua, kabla kesi yake haijaamuliwa na jopo la majaji wiki ijayo.

Uamuzi huo umejiri huku tayari Rais William Samoei Ruto, akiwa ameshamtangaza Naibu Mpya wa Rais.
 
Kuna madhara makubwa kubakia kuliko kuondoka.
 
Hapa kwetu hata yule afande wa ulawiti mahakama haimwambii kitu na mahakama Haina Cha kumfanya ,hata asipo enda mahakaman itazungushwa na kupambwa weeeee ,yaan bas tuu
Kwa hiyo wwe unataka afande ashitakiwe tu bila ushahidi wowote ule, hao watenda kosa wenyewe wamemkana!!
 
Hiyo ndio habari mpasuko

Ikumbukwe Rais Ruto ameshamteuwa Prof Kindiki kuwa Naibu Rais Mpya

Bunge limesharidhia na Prof Kindiki yuko Saluni kwa hatua za Mwisho kabla ya kwenda kula kiapo

Kenya wametuacha mbali sana🐼

Credit Citizen TV
Wametuacha mbali kwenye nini? Ukabila? Fitina? Hiki wanachofanya ni ulaghai mtupu labda kujaribu na kuweka presedence tu kuwa waliwahi kumfuta kazi DP. Hii ni katiba ya hovyo sana
 
Siasa za kenya ni za Kipumbavu sana, ingawa za tanzania pia ni kibwenge wakati Uganda na Rwanda hakuna siasa kabisa.

Ruto alimtumia Gachagua kama Big G ili apate kura za wakikukyu. Pamoja na Kenyata kumwonya yeye hakusikia. Sasa anakiona cha mtema kuni. Impeachment yote ilikuwa engineered na Ruto
 
Back
Top Bottom