Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
mahakama ya Kenya inakwenda kumsiriba kabisa na kumsagasaga Gachagua asipumue wala kufurukuta kwenye siasa za Kenya ever šHiyo ndio habari mpasuko
Ikumbukwe Rais Ruto ameshamteuwa Prof Kindiki kuwa Naibu Rais Mpya
Bunge limesharidhia na Prof Kindiki yuko Saluni kwa hatua za Mwisho kabla ya kwenda kula kiapo
Kenya wametuacha mbali sanaš¼
Credit Citizen TV