07 November 2024
Maputo, Mozambique
MAHAKAMA YA KIKATIBA MOZAMBIQUE YAKUBALI MAOMBI YA CHAMA CHA PODEMOS, KURA ZIRUDIWE KUHESABIWE
View: https://m.youtube.com/watch?v=AVFt6_Ok56U
Chama cha upinzani PODEMOS nchini Mozambique pamoja na cha PAO wamepeleka ushahidi wa kilo Mia tatu za ushahidi katika karatasi, wakionesha uchafuzi wa uchaguzi uliofanyika Oktoba 9 2024 .
Vyama vya PODEMOS na PAO wameonesha ushahidi ambapo idadi ya kura zilizidi idadi ya watu walioandikishwa katika maeneo mbalimbali, ushahidi huu ni mojawapo ulioishawishi Mahakama ya Kikatiba kutaka kurudia kuhesabiwa kura kujua uhalali wa matokeo na washindi waliotangazwa.
Ghasia na maandamano yameliandama taifa hili la kusini mwa Afrika lilopata uhuru miaka ya 1970 na chama kongwe dola FRELIMO kutangazwa mshindi kwa zaidi ya miaka 40 toka uhuru.