Mahakama ya kimataifa ya Haki yaikuta na hatia Israel

Mahakama ya kimataifa ya Haki yaikuta na hatia Israel

Let's say Netanyahu akakomaa na vita na bila kujibu what's next. ?
Mahakama itakosa nguvu hata kwa makosa mengine yakitokea....... Msauzi kama nae anawapima tu maana walizoea kukomalia viongozi wa afrika na mataifa mengine dhaifu,, kwenye hili hio mahakama ikimbwela basi inaweza poteza ushawishi wake,
 
Lakini hawajawaambia wasitishe vita......wamewaambia iendelee lakini wapunguze maafa kwa raia.....mahakama hii ni kichekesho......
Hiyo itakuwa mahakama ya Buza ambayo imewambia waendelee.

Mahakama ya Kimataifa ya Haki imefanya maamuzi yafuatayo;

1) Israeli lazima isitishe mashambulizi dhidi ya Wapalestina.

2) Israeli ni lazima iruhusu misaada ya kibinadamu kwenda Gaza.

3) Kuandaa ushahidi na kuufikisha mbele ya mahakama ndani ya mwezi 1.

Muhimu kabisa ni hii….

Israel was accused by the International Court of Justice for the genocide it is wreaking in Gaza, in which it massacred over 26,000 civilians, including 12,000 children in 3 months.
 
Mahakama itakosa nguvu hata kwa makosa mengine yakitokea....... Msauzi kama nae anawapima tu maana walizoea kukomalia viongozi wa afrika na mataifa mengine dhaifu,, kwenye hili hio mahakama ikimbwela basi inaweza poteza ushawishi wake,
Ufaransa ni mmoja ya nchi zilizofungua hii mahakama mwanzo walikuwa upande wa Israel baada ya mahakama kutoa maamuzi wamesema israel lazima iikubaliane na mahakama.
 
Let's say Netanyahu akakomaa na vita na bila kujibu what's next. ?
Hiyo mahakama si lolote kwa Israel hakuna kitu wataifanya ni ile tu kwamba wanasympasize na palestinians. Israel ataendelea kuua palestinianin kama kawaida mpaka atosheke. Hiyo ni vita ya kizazi cha mtoto wa ndoa vs mtoto wa mchepuko wakigombania urithi wa ardhi🤣😅

Israel’s war on Gaza live: Israeli army kills 174 amid ICJ ruling​

Hiyo mahakama si lolote kwa Israel hakuna kitu wataifanya ni ile tu kwamba wanasympasize na palestinians. Israel ataendelea kuua palestinianin kama kawaida mpaka atosheke. Hiyo ni vita ya kizazi cha mtoto wa ndoa vs mtoto wa mchepuko wakigombania urithi wa ardhi🤣😅
Israel is Losing Hugely in the Court of World Opinion.

America’s stock, Britain’s stock, Europe's stock are plummeting.

Israel is dragging everyone down the same rabbit hole with it.
 
Ukisoma habari ya hukumu Al Jazeera, iko tofauti na ulivyotutafsiria humu. Kule wanasema ni kweli kuna viashiria vya mauaji ya kimbali.... LAKINI?
1. Hawajasitisha vita bali wameshauri Israel ipunguze athari za vita, zinazotafsirika kama mauaji ya kimbali
2. Iruhusu misaada ya kibinadamu kufikia Wapalestina wa Gaza
3. Imeitaka Israel kuripoti after a month or two na ushahidi kwamba imecomply na sheria za kimataifa za vita.

Ndio maana hata Wapalestina wamelaumu maamuzi ya ICJ, maana imeshindwa kuamua kusiyisha vita. Kiufupi tu ni kwamba ICJ imeamua kuwinda na mbwa na kukimbia na sungura kwa wakati mmoja
 
Hiyo itakuwa mahakama ya Buza ambayo imewambia waendelee.

Mahakama ya Kimataifa ya Haki imefanya maamuzi yafuatayo;

1) Israeli lazima isitishe mashambulizi dhidi ya Wapalestina.

2) Israeli ni lazima iruhusu misaada ya kibinadamu kwenda Gaza.

3) Kuandaa ushahidi na kuufikisha mbele ya mahakama ndani ya mwezi 1.

Muhimu kabisa ni hii….

Israel was accused by the International Court of Justice for the genocide it is wreaking in Gaza, in which it massacred over 26,000 civilians, including 12,000 children in 3 months.
Kaongea ukweli mtupu mkuu japo mahakama imewabeba Israel
 
ICJ Imeona ikemee lakini isitekwe na mihemuko wala jazba, kwa umakini imetambua uhuru na haki la taifa la Israel kujilinda ikizingatiwa kesho tarehe 27 January ni siku ya kumbukumbu ya kusikitisha mauaji ya kimbari ya Holocaust

Netanyahu: ICJ Court rightly rejected the demand to deny Israel its right to self-defense. Prime Minister Benjamin Netanyahu said the decision by the ICJ "rightly rejected the outrageous demand to deny" Israel the right to basic self-defense to which it is entitled as a country.

27 January 2024
HOLOCAUST MEMORIAL DAY
Remembers those that died or whose lives were changed beyond recognition during the holocaust, and all genocides that followed.

Holocaust memorial Day is marked on 27th January to remember all those who were murdered during the Holocaust. The 27th of January marks the anniversary of the liberation of Auschwitz-Birkenau in 1945.

Auschwitz-Birkenau was the largest of all the Nazi death camps, where over 1.1 million men, women and children were murdered, over 90% of them being Jewush.

Between 1941 and 1945, six million Jewish men, women and children were murdered by the Nazis and their collaborators, resulting in the genocide of the world' Jewish population. Their attempt to murder all the Jews in Europe shook the foundation of civilisation.

Holocaust Memorial Day is a time when we seek to learn the lessons of the past and recognise that genocide does not just take place on its own - it's a steady process which can begin to grow if seeds of discrimination, racism, and hatred are not acknowledged, prevented and destroyed. There is still much to do to create a safer future, and the responsibility lies with all of us.
 
Hotuba za miaka iliyopita kumbukizi ya kila tarehe 27 January mauaji ya kimbari Holocaust dhidi ya wayahudi miaka 75 iliyopita

António Guterres, Secretary-General of the United Nations, on the International Day of Commemoration in Memory of the Victims of the Holocaust (27 January 2020).

View: https://m.youtube.com/watch?v=ayjLIGewrhw
 
BI. NALEDI PANDOR : HUKUMU ILIYOTOKA NI MWANZO MZURI, LAKINI HATUKUPATA CHOTE TULICHOTARAJIA

Bi. Naledi Pandor waziri wa mambo ya nje wa South Africa alipoulizwa kuhusu hukumu, asema tungependa kuwepo tamko kupitia neno ulazima wa usiitishwaji wa vita, lakini kipengele hicho cha kuibana Israel kivita hakikuwepo na kwa ujumla kumeridhika na hukumu ya ICJ- Mahakama ya Kimataifa

View: https://m.youtube.com/watch?v=BN32kKHguG8
 
Hapo patamu Sana ngoja tuone unafiki wa viongozi wa dunia. Putin kafanya uhalifu ukraine anatakiwa mahakamani

Na mshirika wa wamagharibi netanyahu kafanya uhalifu gaza,anatakiwa mahakamani .
 
Ukisoma habari ya hukumu Al Jazeera, iko tofauti na ulivyotutafsiria humu. Kule wanasema ni kweli kuna viashiria vya mauaji ya kimbali.... LAKINI?
1. Hawajasitisha vita bali wameshauri Israel ipunguze athari za vita, zinazotafsirika kama mauaji ya kimbali
2. Iruhusu misaada ya kibinadamu kufikia Wapalestina wa Gaza
3. Imeitaka Israel kuripoti after a month or two na ushahidi kwamba imecomply na sheria za kimataifa za vita.

Ndio maana hata Wapalestina wamelaumu maamuzi ya ICJ, maana imeshindwa kuamua kusiyisha vita. Kiufupi tu ni kwamba ICJ imeamua kuwinda na mbwa na kukimbia na sungura kwa wakati mmoja
Wewe Muyahudi wa Shirati unachekesha sana ICJ inaishauri Israel?

Nenda kamsikile Netanyahu povu linavyomtoka na mawaziri wake.

Nimeweka ICJ walivyongea hapo chini ya uzi wangu kama una bando sikiliza.
 
BI. NALEDI PANDOR : HUKUMU ILIYOTOKA NI MWANZO MZURI, LAKINI HATUKUPATA CHOTE TULICHOTARAJIA

Bi. Naledi Pandor waziri wa mambo ya nje wa South Africa alipoulizwa kuhusu hukumu, asema tungependa kuwepo tamko kupitia neno ulazima wa usiitishwaji wa vita, lakini kipengele hicho cha kuibana Israel kivita hakikuwepo na kwa ujumla kumeridhika na hukumu ya ICJ- Mahakama ya Kimataifa

View: https://m.youtube.com/watch?v=BN32kKHguG8

President of South Africa: "The decisions of the International Court of Justice today are a victory for justice, and Israel should take measures to stop the incitement to genocide and allow access to basic services to Gaza."
 
Wewe Muyahudi wa Shirati unachekesha sana ICJ inaishauri Israel?

Nenda kamsikile Netanyahu povu linavyomtoka na mawaziri wake.

Nimeweka ICJ walivyongea hapo chini ya uzi wangu kama una bando sikiliza.
Screenshot_2024-01-27-20-12-41.png
 
Hapo juu nimeambatanisha na screenshot ya Al Jazeera, wenzako wanasema Israel ime-neutralize Wapalestina 174. Soma neno PREVENT na litafute kwenye dictionary ya English - Swahili, labda unaweza elewa.
 
Sikuelewi unabisha nini
 
Sikuelewi unabisha nini
Nakubishia kwamba, Israel haijaamuliwa kusitisha vita, kama ulivyoweka kwenye point yako ya kwanza ya bandiko. Badala yake, imeamulishwa izingatie sheria za vita za kimataifa, zinazopinga, miongoni mwa mengi, mauaji ya halaiki.
 
Back
Top Bottom