Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Mahakama itakosa nguvu hata kwa makosa mengine yakitokea....... Msauzi kama nae anawapima tu maana walizoea kukomalia viongozi wa afrika na mataifa mengine dhaifu,, kwenye hili hio mahakama ikimbwela basi inaweza poteza ushawishi wake,Let's say Netanyahu akakomaa na vita na bila kujibu what's next. ?
Hiyo itakuwa mahakama ya Buza ambayo imewambia waendelee.Lakini hawajawaambia wasitishe vita......wamewaambia iendelee lakini wapunguze maafa kwa raia.....mahakama hii ni kichekesho......
Ufaransa ni mmoja ya nchi zilizofungua hii mahakama mwanzo walikuwa upande wa Israel baada ya mahakama kutoa maamuzi wamesema israel lazima iikubaliane na mahakama.Mahakama itakosa nguvu hata kwa makosa mengine yakitokea....... Msauzi kama nae anawapima tu maana walizoea kukomalia viongozi wa afrika na mataifa mengine dhaifu,, kwenye hili hio mahakama ikimbwela basi inaweza poteza ushawishi wake,
Ni Tolywood kabisaaaHollywood
Hiyo mahakama si lolote kwa Israel hakuna kitu wataifanya ni ile tu kwamba wanasympasize na palestinians. Israel ataendelea kuua palestinianin kama kawaida mpaka atosheke. Hiyo ni vita ya kizazi cha mtoto wa ndoa vs mtoto wa mchepuko wakigombania urithi wa ardhi🤣😅Let's say Netanyahu akakomaa na vita na bila kujibu what's next. ?
Israel is Losing Hugely in the Court of World Opinion.Hiyo mahakama si lolote kwa Israel hakuna kitu wataifanya ni ile tu kwamba wanasympasize na palestinians. Israel ataendelea kuua palestinianin kama kawaida mpaka atosheke. Hiyo ni vita ya kizazi cha mtoto wa ndoa vs mtoto wa mchepuko wakigombania urithi wa ardhi🤣😅
Kaongea ukweli mtupu mkuu japo mahakama imewabeba IsraelHiyo itakuwa mahakama ya Buza ambayo imewambia waendelee.
Mahakama ya Kimataifa ya Haki imefanya maamuzi yafuatayo;
1) Israeli lazima isitishe mashambulizi dhidi ya Wapalestina.
2) Israeli ni lazima iruhusu misaada ya kibinadamu kwenda Gaza.
3) Kuandaa ushahidi na kuufikisha mbele ya mahakama ndani ya mwezi 1.
Muhimu kabisa ni hii….
Israel was accused by the International Court of Justice for the genocide it is wreaking in Gaza, in which it massacred over 26,000 civilians, including 12,000 children in 3 months.
Netanyahu: ICJ Court rightly rejected the demand to deny Israel its right to self-defense. Prime Minister Benjamin Netanyahu said the decision by the ICJ "rightly rejected the outrageous demand to deny" Israel the right to basic self-defense to which it is entitled as a country.
Wewe Muyahudi wa Shirati unachekesha sana ICJ inaishauri Israel?Ukisoma habari ya hukumu Al Jazeera, iko tofauti na ulivyotutafsiria humu. Kule wanasema ni kweli kuna viashiria vya mauaji ya kimbali.... LAKINI?
1. Hawajasitisha vita bali wameshauri Israel ipunguze athari za vita, zinazotafsirika kama mauaji ya kimbali
2. Iruhusu misaada ya kibinadamu kufikia Wapalestina wa Gaza
3. Imeitaka Israel kuripoti after a month or two na ushahidi kwamba imecomply na sheria za kimataifa za vita.
Ndio maana hata Wapalestina wamelaumu maamuzi ya ICJ, maana imeshindwa kuamua kusiyisha vita. Kiufupi tu ni kwamba ICJ imeamua kuwinda na mbwa na kukimbia na sungura kwa wakati mmoja
President of South Africa: "The decisions of the International Court of Justice today are a victory for justice, and Israel should take measures to stop the incitement to genocide and allow access to basic services to Gaza."BI. NALEDI PANDOR : HUKUMU ILIYOTOKA NI MWANZO MZURI, LAKINI HATUKUPATA CHOTE TULICHOTARAJIA
Bi. Naledi Pandor waziri wa mambo ya nje wa South Africa alipoulizwa kuhusu hukumu, asema tungependa kuwepo tamko kupitia neno ulazima wa usiitishwaji wa vita, lakini kipengele hicho cha kuibana Israel kivita hakikuwepo na kwa ujumla kumeridhika na hukumu ya ICJ- Mahakama ya Kimataifa
View: https://m.youtube.com/watch?v=BN32kKHguG8
Wewe Muyahudi wa Shirati unachekesha sana ICJ inaishauri Israel?
Nenda kamsikile Netanyahu povu linavyomtoka na mawaziri wake.
Nimeweka ICJ walivyongea hapo chini ya uzi wangu kama una bando sikiliza.
Nakubishia kwamba, Israel haijaamuliwa kusitisha vita, kama ulivyoweka kwenye point yako ya kwanza ya bandiko. Badala yake, imeamulishwa izingatie sheria za vita za kimataifa, zinazopinga, miongoni mwa mengi, mauaji ya halaiki.Sikuelewi unabisha nini
Nakubishia kwamba, Israel haijaamuliwa kusitisha vita, kama ulivyoweka kwenye point yako ya kwanza ya bandiko. Badala yake, imeamulishwa izingatie sheria za vita za kimataifa, zinazopinga, miongoni mwa mengi, mauaji ya halaiki.