machafuko jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 565
- 1,158
Urusi sio africa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Urusi itakuwa hivi: Makombora yake ya Nuklia hana hata limoja linalopiga 0 (Zero)Distance. Hii maana yake kama watamfikia say 5km, basi Nuklia yake au Hypersonic haina tena uwezo - haina manufaa kwake.Mkuu hamna bomu la kupiga Tanzania nzima ndio ila kama Najua kuna Barracks gongo la mboto, mbagala, Ruvu n.k natuma kila kombora kivyake katika hizo coordinates. Mwendo wa kufikia huko ni hypersonic maana yatapishana sekunde tu 😀😀😀
We jamaa una pumba mpaka basi😊Hujui siasa za kimataifa na hufuatilii
Ataenda kwa usafiri upi wakati ndege zote za Russia zina vikwazo vya Anga Marekani
Pili yeye na familia yake hawaruhusiwi kukanyaga marekani wako blacklisted ulaya na marekani kwa majina yao
Mbona Bashir alishadakwa?Icc nao wapuuzi tu hawana jipya!! Wana nyavu za kuvua vidagaa tu, big fish hawatawaweza
Una akili sanaVita part two wanawapa mwanya magenerali wa kirusi kupindua Russia kwa kumkamata kuwa wasipate shida wakimpindua kuwa wampeleke wapi ni the Hague
Hadi hilo tamko kutolewa ina maana assessment ya vita inaonyesha mwelekeo mzuri wa Putin kuchokwa ndani ya Russia kwenye inner circle za chama tawala na jeshi
Ukute ndugu yako anategemea USA kuishiUSA [emoji631] pumbavu sana.
Japo unaaandika pumba ila ngoja nikuulize swali,Kwa Urusi itakuwa hivi: Makombora yake ya Nuklia hana hata limoja linalopiga 0 (Zero)Distance. Hii maana yake kama watamfikia say 5km, basi Nuklia yake au Hypersonic haina tena uwezo - haina manufaa kwake. Ni kama tuseme katika scenario hii kwamba ww una bunduki lakini adui yako kajitahidi mpaka amekufikia na kakukwida shati au kukupiga kabali. Hiyo bunduki yako ujue haina uwezo tena haikusaidii -huwezi kuitumia tena bali hapo ni kupigana kwa ngumi, mweleka, mateke n.k. Hicho ndicho kinaenda kutokea kwa Putin. Maadui wake US,NATO, EU na Ukraine wamemkaribia mno kiasi kwamba na maadui wengine tayari wapo ndani ya Urussi kwenyewe. Hapo hata yy atajiuliza anatumiaje Nuklia ndani ya nyumba yake mwenyewe kwa mfano? Hapo ni akimbie au akubaliane na matokeo vita iishe.
Ila lazima watamtoa tu kwa kumpinduaPutin kwa sasa atajilinda mno asipoteze madaraka, maana ndio njia pekee ya kujihakikishia usalama wake.
Mkuu; Hakuna cha WW3. eneo la mapigano (frontline) itakuwa wapi? Urusi ndiye anayepigana na Mataifa hayo ambapo kwa sasa au hivi punde watakuwa ndani ya nchi ya Urusi. Akijichanganya basi atabomoa miundombinu yake mwenyewe, ataua raia wake mwenyewe yani atajiangamiza mwenyewe.Wafinye Nuclear kama wanauwezo. Hii kitu mwisho wake ni WW3 amini kwamba.
Umeyawaza mwenyewe hayo au una msaidizi?OK; Sasa ni zamu ya Putin kusurrender au kukimbilia Uhamishoni kama alivyomtishia Zele eti nakupa 72 hrs. utekelezaji ufanyike chap. na mavifaru yake yenye nembo ya Z mlolongo km 64. Sasa kibao kimegeuka kwani atawindwa na wabobezi wa kimataifa(Interpol) mataifa 194. Kazi anayo.
Sifahamu mkuu. hebu niambie.Japo unaaandika pumba ila ngoja nikuulize swali,
Ni nchi gani iliyojaribu successful hypersonic missiles?
Sio kujitoa hawamo kabisa USA India China RussiaHahaha urusi kashaanza mchakato wa kujitoa kwenye hiyo mahakama uchwara.
Putin Ni miongoni mwa big fishes in the world ngoja tuone itakuwaje, labda alazimishe kushinda uchaguzi unaofuata alafu asitoke nje ya mipaka ya RussiaIcc nao wapuuzi tu hawana jipya!! Wana nyavu za kuvua vidagaa tu, big fish hawatawaweza
ICC ni 🚮Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin.
=====
Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo haina maana yoyote.
View attachment 2555625
Pia, Hati ya Mahakama ya ICC imeeleza kuwa Rais Vladimir Putin aliagiza mashambulizi yaliyosababisha Watoto kuhamishwa kinyume cha Sheria pamoja na uhamisho usio halali wa Raia kutoka eneo la Ukraine na kuingia Nchini Urusi.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria Zakharova amesema "Maamuzi ya ICC hayana maana kwasababu Urusi haiko kwenye Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, hivyo haiwajibiki chini yake."
ikitokea kapanick anarusha makombora kwa wanaotaka kumkamata lawama zitakuwa juu ya naniPutin kwa sasa atajilinda mno asipoteze madaraka, maana ndio njia pekee ya kujihakikishia usalama wake.