Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Kwa Urusi itakuwa hivi: Makombora yake ya Nuklia hana hata limoja linalopiga 0 (Zero)Distance. Hii maana yake kama watamfikia say 5km, basi Nuklia yake au Hypersonic haina tena uwezo - haina manufaa kwake.

Ni kama tuseme katika scenario hii kwamba ww una bunduki lakini adui yako kajitahidi mpaka amekufikia na kakukwida shati au kukupiga kabali. Hiyo bunduki yako ujue haina uwezo tena haikusaidii -huwezi kuitumia tena bali hapo ni kupigana kwa ngumi, mweleka, mateke n.k. Hicho ndicho kinaenda kutokea kwa Putin.

Maadui wake US,NATO, EU na Ukraine wamemkaribia mno kiasi kwamba na maadui wengine tayari wapo ndani ya Urussi kwenyewe. Hapo hata yy atajiuliza anatumiaje Nuklia ndani ya nyumba yake mwenyewe kwa mfano? Hapo ni akimbie au akubaliane na matokeo vita iishe.
 
Hujui siasa za kimataifa na hufuatilii

Ataenda kwa usafiri upi wakati ndege zote za Russia zina vikwazo vya Anga Marekani

Pili yeye na familia yake hawaruhusiwi kukanyaga marekani wako blacklisted ulaya na marekani kwa majina yao
We jamaa una pumba mpaka basi😊
 
Una akili sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Japo unaaandika pumba ila ngoja nikuulize swali,

Ni nchi gani iliyojaribu successful hypersonic missiles?
 
Wafinye Nuclear kama wanauwezo. Hii kitu mwisho wake ni WW3 amini kwamba.
Mkuu; Hakuna cha WW3. eneo la mapigano (frontline) itakuwa wapi? Urusi ndiye anayepigana na Mataifa hayo ambapo kwa sasa au hivi punde watakuwa ndani ya nchi ya Urusi. Akijichanganya basi atabomoa miundombinu yake mwenyewe, ataua raia wake mwenyewe yani atajiangamiza mwenyewe.

Ni kama tuseme nyuki amepenyeza na kuingia ndani ya shati lako. Huwezi kumpiga au kumwua bila kujipiga kibao/kofi ww mwenyewe.

Mrusi ameshasogezwa hadi kwenye kona. Ana shida ya Silaha, Askari, Mamluki wake ameshapishana nao (hawako tena in good terms), kuna askari wanagoma kuingia vitani, kuna vitendo vya hujuma vinavyo fanywa na makundi hasidi ndani ya Urussi.

Tuseme tu kwamba kiukweli Putin inavyoelekea ana wakati mgumu sana.
 
US alikua anatafuta uhalali wa kuingilia vita hii sasa ameupata. Lakini wasichokijua ni kwamba, Putin sio mtu wa kutishiwa sana na Kuna kila dalili kwamba atakua radhi kuachia nyuklia kuliko kukamatwa au kushuhudia mwisho wake ukiwa mwepesi.

Movie iendelee, tukumbuke kuweka akiba ya chakula.
 
Umeyawaza mwenyewe hayo au una msaidizi?
 
Wanatingisha tu mbuyu...

Dunia ya kinafiki sana, nani asiyejua kuwa ICC ni chombo cha US , na vyombo vingine...

Ni wazi dunia inajua unyama uliofanyika Iraq, Syria+ Libya....hujisikia ICC japo kumlaumu BUSH na kwanza Obama kapewa tuzo ya NOBEL.

Binadamu hata asome Vipi....ajiite amestaaribika kivipi..bado .hawezi kuwa adili...

Hasa kama watu hao hawaamini uwepo wa siku ya malipo...
Nani kasema BIDEN, BUSH + OBAMA wataishi mililele....

Hakuna anayependa vita ya UKRAINE3 ila unafiki wa westen block + US ...

.ipo siku tu NUCLEAR itarushwa...kwa mwenendo huu

By nature binadamu hawezegi kuvumilia muda wote ujanja ujanja kuona mtu mmoja anawendesha watu na anapata support tu ya kijinga.....

Hii ICC itabaki kwa wanaofaidika nayo. Na viinchi vya Africa...
 
Icc nao wapuuzi tu hawana jipya!! Wana nyavu za kuvua vidagaa tu, big fish hawatawaweza
Putin Ni miongoni mwa big fishes in the world ngoja tuone itakuwaje, labda alazimishe kushinda uchaguzi unaofuata alafu asitoke nje ya mipaka ya Russia
 
ICC ni 🚮
 
Putin kwa sasa atajilinda mno asipoteze madaraka, maana ndio njia pekee ya kujihakikishia usalama wake.
ikitokea kapanick anarusha makombora kwa wanaotaka kumkamata lawama zitakuwa juu ya nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…