Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Putin Ni miongoni mwa big fishes in the world ngoja tuone itakuwaje, labda alazimishe kushinda uchaguzi unaofuata alafu asitoke nje ya mipaka ya Russia
Hata asiposhinda uchaguzi cha msingi atakayeshika nchi ampe support
 
Haya!
 
Hakuna WW3 unafikiri Putin atakubali akamatwe na kudhalilishwa kama Sadam Hussein au Gadafi 🤣🤣🤣!
Kita happen.
 
Teh mrusi mwenyewe anawashangaa maana hio mahakama hata haimhusu
 
Kivipi icc wana issue rest warranty kumkamata putin wakati Russia sio signatory wa hiyo mahama ?Hii imeakaje?
 
Kila siku Israel anauwa watu pale gaza hiyo mahakama sijawahi kusikia japo ikemeee achilia mbali kuwakamata viongozi wa uzayuni hii dunia imejaa unafiki sana mpaka kwa wazungu. Wabongo tujiamulie mambo yetu wenyewe.
 
Sasa wanatoaje amri wakati yeye si mwanachama wa ICC USA, RUSSIA na INDIA sio wanachama inakuwaje hapo
 
Hakuna WW3 unafikiri Putin atakubali akamatwe na kudhalilishwa kama Sadam Hussein au Gadafi 🤣🤣🤣!
Kita happen.
Unajua inapotokea kwamba umetuhumiwa kwa jambo baya halafu na ukawa unatafutwa ukamatwe ili upelekwe mbele ya Shera ukajibu Tuhuma(Sio hoja), inakuwa kama umepigwa Laana fulani hv. Mambo yako na mipango yako inakuwa haiendi tena vizuri. Hili unaweza kuliona vizuri linapokuwa ngazi ya Jamii kwamba kuna mtu ana RB yako na unafuatiliwa na Polisi au hata mgambo tu Inakuwa kama balaa fulani hivi. Unakosa amani rohoni mwako na unaona kama watu wote sio wema tena kwako.
 
Kazi sasa ndio imeanza ukisha wekewa hati ya kukamatwa maana yake huna thamani ktk jamii na Taifa lako. Wachambuzi wa mambo wanasema Putin. Mwenyewe anajuwa siku zake zipo ukingoni kama all Dictator.

Tayari hata watu wake wakaribu wanajuwa sasa hiki ni kimavi na akitoka yeye na sisi lazima tuumie je tuumie wote na Taifa au tumtoe kafara. Bila shaka watamtoa kafara. Let us keep monitoring
 
ahsante. lakini nahc kama haujajibu vizuri suali langu
 
Hata Omar Al-Bashir wa Sudan alisema hivyo kwa mbwembwe akasafiri hadi South Africa ambalo ni taifa mwanachama wa ICC ila waliomkamata wakampeleka ICC ni Wa Sudan wenzake majenerali wa jeshi!
Hahaahahaaaa,Moscow wameiita hiyo warrant ", meaningless"!
Hiyo warrant mpaka Putin anaingia kaburini haitafanya kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…