Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Sasa pitisheni bakuli, Mbowe ana hela za kulipa hiyo fine, hawa wengine ndio balaa, waliendekeza siasa za fujo sasa wanaenda kuolewa magereza.
 
Povu linakutoka sana mkuu,Mimi ninauwezo wa kukulisha wewe Na Mme wako na kukulipeni posho na Hugo Mme wako kwa maisha yenu yote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzalendo2015, lmighty REBUKE this man now and forever....Amen.
[/QUOTE]
HUWA NAJIULIZA SANA SWALI HILI, KWANINI WATU WA CCM WANAMCHUKIA SANA MBOWE????? MWENYE JIBU PLZ ANISAIDIE.
 
Kilichofanywa kwa uwepo wa Maalim Seif, Mbatia na wito wa Zitto kuichangia Chadema ni kitu kizuri, kuonyesha political solidarity, it's only through together ndio we can!.
P
 
Tutachanga kama wakitoa account lakini jambo kubwa moja kwangu ni kuwa nazidi kuichukia serikali kadri siku zinavyosonga mbele,kwasasa hata nikimkuta mwanaCCM anakufa hapo,mimi nitapita na kuendelea na shughuli zangu!Nimeufunga rasmi moyo wa huruma!
Majakama na ccm zinatofauti
 
Sina muda wa kuchangia wahuni, matapeli, wezi na wauaji wakubwa wa Akwilina.



Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuhangaika takataka la lumumba!Unajua fika walioumuua Akwilina ni jeshi la polisi ndio maana shtaka moja limechomolewa kiaina ili kutoleta mkanganyiko kwani DPP alishawasamehe wauaji!
Damu ya Akwilina iwe juu ya Jiwe na askari aliowatuma kufyatua risasi ovyo ili kuua wapinzani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…