Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mambo ni mengi?Unazungumzia waliyosema viongozi wa CCM juu ya kuwapiga na kuwauwa wapinzani au unazungumzia kauli za akina Mbowe siku wanaandamana kwenda tume ya uchaguzi?
Kwa sasa issue on hand ni kuhusu hukumu ya mahakama inayohusiana na viongozi wetu. Let us stick to the subject.
Kama CCM wamefanya makosa kama hayo na AG hayaoni, basi wananchi wanaweza kufungua kesi inayohusiana na uvunjaji wa sheria. Mbona kina Kiroboto wako tena wengi tu!
 
Wakati bado ninyi mnakusanyakusanya CCM Dar tu imeishakamilisha milioni 30 na Dr. Mashinji aliishatoka zamaaaaaani!
Lowasa alisema Elimu... Elimu... Elimu.. Lkn hamkumuelewa na ndiyo maana mtaendelea kutumia maguvu badala ya akili.

No one knows tomorrow.
 
Lowasa alisema Elimu... Elimu... Elimu.. Lkn hamkumuelewa na ndiyo maana mtaendelea kutumia maguvu badala ya akili.

No one knows tomorrow.
Weka CV yako nami niweke yangu tuone nani ana elimu kumzidi mwenzake.
 
1. Tunaomba mtuwekee hukumu, tuidadavue
2. Msisahau kuomba rufani kufuta criminal record (kama mnaona inawezekana.. hapa ndipo kuna utaalamu wa sharia mkubwa unahitajika..) ingawa mambo ya mahakama huwa hayatabiriki...high court???? I have reservations..
 
Mimi sipo kilaza kiasi hicho, kwanza wapinzani wote wamestaarabika hatunaga ushindani wa kibwege

No one knows tomorrow.
Umenywea sio? Si huwa mnaloloma ninyi ni wasomi? Wasomi hata hamjui elimu ya Mwenyekiti wenu Mbowe? Pumbavu!
 
Hili haya yaishe inabid kifanyike kity kimoja tu ningewaambia ili kwa jins mlivyo waoga nyinyi kaz yenu kuanzisha thread tu nzur watu wachangie na kwa bahati mbaya BUKU 7 wamo humu nawaangalia tu ctaki kuwareply maana najua hawawez kunielewa wanatetea ugali wao na pia kutaibuka matusi njia ya kuleta mabadiliko zipo nying tu sema mipasuko imekuwa mingi mno Msililie katiba maana io hawawez kuwapa ng'o ngoja niwadokeze kidogo

1.CCM inabid ipasuke ndan au ujipasue yenyewe wananchi wote tujifanye tumeunga mkono CCM wote tuhamie CCM zitto kabwe.maalim seif .tundu lissu .mbowe wote waamie ccm afu twende tukaipasue umo umo ndan

2.tuifokee serikali iruhusu wagombea binafsi kiti cha urais ili watu mm kina membe.diamond mo dewjj na wao pia wagombee japo hawana vyama


3.hii siandiki maana itaniweka matatani
 
Hii siku nguvu ya umma ilidhihirika ni moja kati ya siku ambazo sitazisahau.

Millioni 350+ zilichangwa ndani ya saa 24.

Japo aliyesimamia kuchangisha naye alinuniliwa awamu ya malkia wa anga ndio napo akaonyeshwa nguvu ya umma kwa kushushwa ile popularity yake siku hizi amebaki anajiongelesha na parody zake mbili tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…