nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Naziona sababu mbili, moja mashinji kuhamia ccm kutaleta unafuu au kuondoa kusudio la kifungo.Itaharishwa
Mimi naomba Mbowe aachiwe huru ili watapopigwa kwenye uchaguzi wasilete visingizioHiyo mvua itasaidia nini bwashee?!!!
HAKI iwe ni pamoja na washitakiwa kutiwa HATIANINi tukio la kihistoria.
Wapiga kura kutoka majimbo ya Iringa mjini, Tarime mjini, Tarime vijijini, Bunda, Hai, Kawe na Kibamba bila kujali itikadi " watajikuta" wamekutana katika mahakama ya kisutu kusikiliza hukumu za wabunge wao.
Tunamwomba mwenyezi Mungu haki ikatendeke mahakamani pale.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa kama aliyemuua mnamjua si mkafungue shauri mahakamani.Wanaoenda kusomewa hukumu ni wahanga waukatili kama Akwilina (R.I.P).
Familia ya marehemu sijui wanajisikiaje kuona aliyemdhulumu uhai binti yao si miongoni mwa watakao hukumiwa! Walioagiza matumizi ya risasi ndio wasimamizi wa hukumu!!!
aliyesababisha ndiye mwenye kosa kubwa bila kuandamana mbowe na genge lake mauaji yangetoka wapi
tunaangalia mazingira ya kesi, ndiyo determinant factor ya hakiNatumai hata ile ya KUWATIA HATIANI VIONGOZI WA CHADEMA nayo itahesabiwa kama haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
acha ushabiki wa kijinga wewe mkurugenzi ndiye aliye andamana? hao wasio na akili timamu na akili za kushikiwa ndiyo chanzo wasingeandamana nani angekurupuka kupiga risasi hovyo hivi unaakilikweli mpaka unasema mkurugenzi? naona unafikiri kwa kutumia makalioHuna unachokijua wewe,kama aliesababisha ki ukweli ni mkurugenzi wa uchaguzi yaani Tume,wangetoa barua mapema kama walivyowapa ccm yangetokea ya kuandamana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ulimquote ni kikaragosi cha kiwango cha chini mno !tunaangalia mazingira ya kesi, ndiyo determinant factor ya haki
hakuna aliyeandamana. Ebu define kuandamana.... tukiwa tunatoka uwanja wa taifa baada ya mpira kuisha huwa watu wanaandamana?acha ushabiki wa kijinga wewe mkurugenzi ndiye aliye andamana? hao wasio na akili timamu na akili za kushikiwa ndiyo chanzo wasingeandamana nani angekurupuka kupiga risasi hovyo hivi unaakilikweli mpaka unasema mkurugenzi? naona unafikiri kwa kutumia makalio
Chanzo kilichofanya waandamane nini haswa wewe mwenzetu mwenye akili timamu tusaidie?acha ushabiki wa kijinga wewe mkurugenzi ndiye aliye andamana? hao wasio na akili timamu na akili za kushikiwa ndiyo chanzo wasingeandamana nani angekurupuka kupiga risasi hovyo hivi unaakilikweli mpaka unasema mkurugenzi? naona unafikiri kwa kutumia makalio
Haki itatendaka tu kwani hata biblia imeandika tiini mamlaka na sheria. Wakila. Mvua za kutosha inaweza ikawarundisha na Wengine wasioheshimu mamlaka.
Sasa nimekuelewa...tunaangalia mazingira ya kesi, ndiyo determinant factor ya haki
Mimi naomba Mbowe aachiwe huru ili watapopigwa kwenye uchaguzi wasilete visingizio
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukumu hio itakuwa ni batili kama itawaacha mkuregenzi Na polisi waliofyatua risasi waliokuwa doria siku hioLiwe lisiwe lazima mbowe ale mvua hapo wengine watapata unafuu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama aliyemuua mnamjua si mkafungue shauri mahakamani.
Hukumu ya kesi ya leo sio ya mauaji bali ya maandamano kinyume na taratibu kupelekea kifo cha Akwilina
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa kashindwa kumsujudia Kim Jon Un Mbowe