Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Baada ya hayati Magufuli kujitahidi kushawishi Taasisi ya Mahakama kuanza kazi ya kutunga sheria na utaratibu wa mahakama ya Mafisadi,inaonesha nchi haikuwa tayari kulipokea wazo hilo kwani hadi hivi sasa hatujaona Mtu akifunguliwa mashtaka ya ufisadi na huenda kwa sababu wenye Mali ndiyo walaji wenyewe kwa hivo imekuwa ngumu kumkamata mtu mwenye ngozi.
Toka alipofariki hayati imekuwa hakuna hata chombo cha habari wala taasisi yeyote inayoongelea hii mahakama.
Leo Naileta kwako mahakama ya mafisadi imewaka kwa muda mfupi na kuzima hapo hapo kama umeme wa TANESCO.
Kwa ripoti ya CAG tungewadaka wengi ilaa ndiyo hivyo CCM inajimilikisha nchi na kukiuka sheria.
NIKUPONGEZE MADEREVA SEE YOU NEXT TO ARUSHA