jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Wwe fanya ufisadi ,wwe na ndg zako mbona mtaijua ilipo na hadi majaji na ma offisa wa magereza mtawajuwa wote tena kwa majina yao!!Hiyo Mahakama iko wapi? Na Majaji wake ni akina nani? Na kesi zinazoendelea ni zipi?