Mahakama ya mafisadi yaendelea kupiga kazi

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,950
Mahakama ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, hii leo tarehe 14.11.2016 imesikiliza kwa mara ya pili kesi yake ya kwanza inayowakabili watanzania wawili na raia mmoja wa China.

pIcha%20%281%29.jpg

Kesi hiyo ya kwanza katika mahakama hiyo imesikilizwa kwa mara ya pili leo, ikiwakabili watu watatu akiwemo raia mmoja wa China, Fu Chang Feng, na watanzania wawili ambao ni Jeremia Madar Kerenge na Ally Danji Lazer wakishtakiwa kwa kosa la kuingiza bidhaa zilizokatazwa za uvuvi katika Bahari Kuu zenye dhamani ya Shilingi Bilioni 7 na Milioni 485 za Tanzania.

Wakili wa upande wa utetezi Roman Ramwai ameiomba mahakama hiyo kuwapatia dhamana watuhumiwa wawili raia wa Tanzania, Ombi ambalo Jaji Rehema Mkuye wa mahakama hiyo italitolea uamuzi tarehe 16 Mwezi huu baada ya Wakili wa serikali mkuu Wakili Timon Vitali kusema kuwa upande wa Jamuhuri hauna pingamizi dhidi ya dhamana hiyo na kwamba mahakama inaweza kuwapatia dhamana watuhumiwa hao.

Akiongea na EATV mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo, Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Charles Magesa ameelezea aina mbalimbali ya kesi ambazo mahakama hiyo ina uwezo wa kuzisikiliza na kwamba mahakama hiyo itatumia muda mfupi sana hadi kutolewa hukumu tofauti na mahakama nyingine.
 
Sina imani na hii mahakama sbb dagaa ndiyo wanaoshitakiwa.
Papa na nyangumi wanadunda tu mitaani hata wale wapiga dili wa milion 10 nao wanadunda tu mitaani.
 
Ni hatari sana,yaani nchi inaongozwa kama gest hous,majaji wale wale walioxhndwa kuonyesha uzarendo wakiwa wamekalia vgoda eti wametafitiwa stoo ili wawe wazarendo huu n unafk ambao haufai kufumbiwa macho.
 
M
Mahakama ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, hii leo tarehe 14.11.2016 imesikiliza kwa mara ya pili kesi yake ya kwanza inayowakabili watanzania wawili na raia mmoja wa China.

pIcha%20%281%29.jpg

Kesi hiyo ya kwanza katika mahakama hiyo imesikilizwa kwa mara ya pili leo, ikiwakabili watu watatu akiwemo raia mmoja wa China, Fu Chang Feng, na watanzania wawili ambao ni Jeremia Madar Kerenge na Ally Danji Lazer wakishtakiwa kwa kosa la kuingiza bidhaa zilizokatazwa za uvuvi katika Bahari Kuu zenye dhamani ya Shilingi Bilioni 7 na Milioni 485 za Tanzania.

Wakili wa upande wa utetezi Roman Ramwai ameiomba mahakama hiyo kuwapatia dhamana watuhumiwa wawili raia wa Tanzania, Ombi ambalo Jaji Rehema Mkuye wa mahakama hiyo italitolea uamuzi tarehe 16 Mwezi huu baada ya Wakili wa serikali mkuu Wakili Timon Vitali kusema kuwa upande wa Jamuhuri hauna pingamizi dhidi ya dhamana hiyo na kwamba mahakama inaweza kuwapatia dhamana watuhumiwa hao.

Akiongea na EATV mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo, Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Charles Magesa ameelezea aina mbalimbali ya kesi ambazo mahakama hiyo ina uwezo wa kuzisikiliza na kwamba mahakama hiyo itatumia muda mfupi sana hadi kutolewa hukumu tofauti na mahakama nyingine.
mahakama ya mafisad inaendeshwa na mafisadi wote hao n mafisadi.
 
wapo wapi mafisadi wa EPA,KAGODA, RICHMOND,ESCROW, LUGUMI? sidhani kama itakuwa na jipya lolote
 
Sina imani na hii mahakama sbb dagaa ndiyo wanaoshitakiwa.
Papa na nyangumi wanadunda tu mitaani hata wale wapiga dili wa milion 10 nao wanadunda tu mitaani.
Ivi wewe ushawahi kuwamini Mbowe? yaani mbowe anakuaminisha kuwa kuna watu wamepewa Rushwa milion 10 10?
 
Mahakama ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, hii leo tarehe 14.11.2016 imesikiliza kwa mara ya pili kesi yake ya kwanza inayowakabili watanzania wawili na raia mmoja wa China.

pIcha%20%281%29.jpg

Kesi hiyo ya kwanza katika mahakama hiyo imesikilizwa kwa mara ya pili leo, ikiwakabili watu watatu akiwemo raia mmoja wa China, Fu Chang Feng, na watanzania wawili ambao ni Jeremia Madar Kerenge na Ally Danji Lazer wakishtakiwa kwa kosa la kuingiza bidhaa zilizokatazwa za uvuvi katika Bahari Kuu zenye dhamani ya Shilingi Bilioni 7 na Milioni 485 za Tanzania.

Wakili wa upande wa utetezi Roman Ramwai ameiomba mahakama hiyo kuwapatia dhamana watuhumiwa wawili raia wa Tanzania, Ombi ambalo Jaji Rehema Mkuye wa mahakama hiyo italitolea uamuzi tarehe 16 Mwezi huu baada ya Wakili wa serikali mkuu Wakili Timon Vitali kusema kuwa upande wa Jamuhuri hauna pingamizi dhidi ya dhamana hiyo na kwamba mahakama inaweza kuwapatia dhamana watuhumiwa hao.

Akiongea na EATV mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo, Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Charles Magesa ameelezea aina mbalimbali ya kesi ambazo mahakama hiyo ina uwezo wa kuzisikiliza na kwamba mahakama hiyo itatumia muda mfupi sana hadi kutolewa hukumu tofauti na mahakama nyingine.
Isidingo tu hii...
 
Ivi wewe ushawahi kuwamini Mbowe? yaani mbowe anakuaminisha kuwa kuna watu wamepewa Rushwa milion 10 10?
Pole sana mwana lumumba unafikiri siwajui nyinyi?
Hilo umejitetea, swali jingine

*Kiasi gani kimepatika kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi?
 
Panya wataanza kujificha na paka watakosa msosi. Hapo itabidi kuenda kwa jirani
 
Mahakama ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, hii leo tarehe 14.11.2016 imesikiliza kwa mara ya pili kesi yake ya kwanza inayowakabili watanzania wawili na raia mmoja wa China.

pIcha%20%281%29.jpg

Kesi hiyo ya kwanza katika mahakama hiyo imesikilizwa kwa mara ya pili leo, ikiwakabili watu watatu akiwemo raia mmoja wa China, Fu Chang Feng, na watanzania wawili ambao ni Jeremia Madar Kerenge na Ally Danji Lazer wakishtakiwa kwa kosa la kuingiza bidhaa zilizokatazwa za uvuvi katika Bahari Kuu zenye dhamani ya Shilingi Bilioni 7 na Milioni 485 za Tanzania.

Wakili wa upande wa utetezi Roman Ramwai ameiomba mahakama hiyo kuwapatia dhamana watuhumiwa wawili raia wa Tanzania, Ombi ambalo Jaji Rehema Mkuye wa mahakama hiyo italitolea uamuzi tarehe 16 Mwezi huu baada ya Wakili wa serikali mkuu Wakili Timon Vitali kusema kuwa upande wa Jamuhuri hauna pingamizi dhidi ya dhamana hiyo na kwamba mahakama inaweza kuwapatia dhamana watuhumiwa hao.

Akiongea na EATV mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo, Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Charles Magesa ameelezea aina mbalimbali ya kesi ambazo mahakama hiyo ina uwezo wa kuzisikiliza na kwamba mahakama hiyo itatumia muda mfupi sana hadi kutolewa hukumu tofauti na mahakama nyingine.

Wapi tegeta escrow, wapi milioni saba kwa dakika, wapi nssf na bandari, wapi Lugumi? wapi hizo kesi?!
 
Hizo ni kesi za mahakama ya kisutu tu, Kesi serious wamezikalia, Eti wanaogopa kufukua makaburi,

Upuuz mtupu
 
Hii nchi zero......mmejitafutia maswali wenyewe,na mkazane kuyajibu vzr
 
Tunataka kusikia LUGUMI and the likes wakipelekwa kwenye hii mahakama na sio hao vidagaa.
Hio kesi ulioutueleza hapo sio Habari.
 
Back
Top Bottom