Mahakama ya mafisadi yaendelea kupiga kazi

Mahakama ya mafisadi yaendelea kupiga kazi

kesi ya ufisadi ni kuanzia billion moja kwa mujibu wa Mhe. Dr. Mwakyembe. Hivyo kwa sasa mafisadi wanajitahidi wasifikie hicho kiwango cha chini. Halafu sijui kama ni bilioni moja kwa mkupuo au bilioni moja kwa awamu tofauti katika matukio tofauti.
 
Nadhani hiyo pamoja na ile ya elimu bure zilikuwa ni kete tu za kisiasa kwenye uchaguzi wa 2015 kwa sababu naona functionalities zake either hazipo ama ziko poorly implemented
 
Lumumba watakuwa na mjibu sahihi akina simiyu yetu, faizar fox na washangiliaji wa huyu mfalme
 
Wachina watu wabaya sana. Mkuu ngoja nikafikiri kwanza ntarudi baadaye
 
walivyobabaishababaisha (funika kombe mwanaharamu apite) kesi ya Lugumi, nilijua fika kuwa hakuna kesi yo yote itakayofikishwa mbele ya mahakama ya mafisadi. Mahakama ya mafisadi ni mahakama hewa.
 
Ndio matatizo ya kukurupuka ona sasa hivi hata hatuelewi huyu ngosha anatupeleka wapi
 
Mahamakama hii haina kazi, ni upotezaji wa pesa kama bado itaendelea kuachwa kwani tangu ianzwe haina kesi hata moja na serikali ilifika hatua ya kukiri kuwa mahakama hiyo I!ekosa kesi!

Mimi kwa upande wangu napendekeza ifutwe kwa kuwa ilianzishwa kwa mihemko ya kisiasa lengo ikiwa ni kutaka kuwafunga wanasiasa Fulani Fulani na hadi sasa imeonyesha kushindwa
 
Acha unoko, Watu wamejipatia ajira huko ,sasa ikifutwa unataka ajira zao zipotee?

Pambana tu nahali yako.
 
Kwani yule masamaki wa nyumba 70 sio angeanza kupelekwa yeye?

Masamaki alishinda kesi. Yuko mjini anaendelea na makamuzi.

TIAGI.jpg


Huwezi kutumia evidence kwamba huyu mtu nimemkuta na nyumba kumi kwa hiyo kaiba! Hatuna ushahidi! Hakuna state prosecutor nchi hii anaweza kwenda mahakamani ku present white color crime prosecution which is incriminating enough to convict.

DPP aliondoa kesi mahakamani baada ya kuona anashindwa. Wanasheria wa serikali wanategemea sana detention bila dhamana, hawajui sheria. Soma hapa.

All told, hakuna hata mtu mmoja aliyefungwa kwa ufisadi toka Magu aingie madarakani, wote ni mahabusu. Ndio maana Magu anai-maindi sana ofisi ya DPP, ambayo haijajengewa uwezo.

Wakina Rugemalila wamefungwa bila kesi, unawezaje kujenga uwezo wa state attorneys kama hata kesi haziendeshwi, unatumia nguvu tu kusema nimemkamata fulani ili kupata political kick halafu unamtia detention indefinately? Ni hujuma za haki za watu na udhalimu wa hali ya juu.
 
Yaani mafisadi yote miongoni mwa Wanasiasa walioitafuna nchi hii; miaka 2 imepita hakuna hata mmoja aliyenyooshewa japo kidole!!

Yaani ukiweka kando makelele ya JPM, wala sioni kama ana tofauti yoyote na JK ambae aliamua kukausha!

Tena bora hata huyo JK ambae alikuwa na uthubutu wa kuurejesha serikalini mgodi ambao mtangulizi wake alijimilikisha let alone kafara aliyowatoa akina Daniel Yona na mwenzake Mramba!
 
Back
Top Bottom