Mahakama ya mafisadi yaendelea kupiga kazi

Mahakama ya mafisadi yaendelea kupiga kazi

Sina imani na hii mahakama sbb dagaa ndiyo wanaoshitakiwa.
Papa na nyangumi wanadunda tu mitaani hata wale wapiga dili wa milion 10 nao wanadunda tu mitaani.
Wepi hao wataje maana aliyebaki nadhani ni LOWASA tu ndiyo atakuwa wa mwisho.
 
nmefungua uzi kwa haraka kweli nshuhudie hayo mafisad halaf eti nakutana na kesi ya wauza nyavu
 
Sina imani na hii mahakama sbb dagaa ndiyo wanaoshitakiwa.
Papa na nyangumi wanadunda tu mitaani hata wale wapiga dili wa milion 10 nao wanadunda tu mitaani.
Kweli mkuu, hapa tunataka kuona/kusikia kesi za watu waliosababishia Taifa hasara kubwa sio hizo kesi za jinai mmnaziita eti za ufisadi, kama hiyo mahakama ina meno kweli basi ianze na NYOKA WA MAKEKENZA.
 
wampeleke mzee wa vijisenti, mama wa pesa ya mboga na walioficha pesa uswisi ndio nitakua na imani.
 
wazo la mahakama ya mafisadi iliotelewa na Mama janeth alipo kuwa akimfanyia masaji pombe kitandani,, mahakama imekuja kufukia makaburi
Eti anachukia ufisadi na mafisadi at the same time anasema hawezi kufukua makaburi.
Hivi ni kweli anasimamia kile anachosema? ama ni kuwafool wa tziii?
 
Kila kitu kina wakati wake... Tumeitaka mahakama imekuja, Swadaktaaa! Sasa tuipe nafasi ifanye maamuzi yake, tutafika tu mbona.
 
Ivi wewe ushawahi kuwamini Mbowe? yaani mbowe anakuaminisha kuwa kuna watu wamepewa Rushwa milion 10 10?
mbona mkuu alikiri kuwa kama kuna mtu anazipenda 10m ahamie wanakozitoa? hukumsikia?
 
mbona mkuu alikiri kuwa kama kuna mtu anazipenda 10m ahamie wanakozitoa? hukumsikia?
Mkuu ivi bado mna imani na Mbowe? aisee watu mna roho ngumu sana. Alshabab nawashauri waje kuchukua watu tanzania.
 
Kwa ufisadi uliopo Tanzania, kesi ya billion 7 bado ni kesi mandazi,
Tunataka tumuone Lugumi hapo kama mko serious.
 
Tunauliza mahakama ya mafisadi ya awamu tano iko wapi mbona mtukufu amenywea ghafla.Mbona jamaa katulia kelele zote zimenywea amepatwa na nini jamani.

Mwenye kujua sababu ya kimya hii atusadie kwanini hapeleki mafisadi mahakamani au kwa sababu ni ndugu zake CCM.

Au alifikiri ni akina mbowe? Lakini hajui kwamba Mbowe hakuwa serikalini mimi nauliza kwa mtukufu yuko kimya?

Nawasilisha
 
Lumumba ebu mtusaidie mtukufu wetu mbona yuko kimya
 
Wizi mtupu, mafisadi wenyewe wako CCM watashitakiwaje!?
 
Back
Top Bottom