umeona ehh na bado mimi nakuambia itamkalia kooni mbele ya safarWalikuwa wanadhani mafisadi ni wapinzani kumbe sio
Huwezi kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati una boriti kwenye jicho lakoTatizo mwanzilishi wa mahakama hiyo naye ni fisadi
Kwani yule masamaki wa nyumba 70 sio angeanza kupelekwa yeye?