Mahakama ya Moldova yahukumu kiongozi wa Kirusi kifungo cha miaka saba jela

Mahakama ya Moldova yahukumu kiongozi wa Kirusi kifungo cha miaka saba jela

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mahakama ya Moldova imemuhukumu Kiongozi wa Pro-Kremlin , Evgenia Gutul kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la kuingiza fedha kutoka Urusi ili kufadhili chama cha siasa.

Gutul amekanusha kuhusika na makosa hayo, hata hivyo, kwa mujibu wa upande wa Mashataka wamedai Gutul alihusika kwa namna ya siri na kwa mpando kuingiza fedha Moldova kati ya mwaka 2019-2022 ili kuweza kufadhili chama cha "Shor" ambacho kwa sasa kimepigwa marufuku.

Chama cha Shor kilianzishwa na Ilan Shor, mfanyabiashara aliyehamia uhamishoni ambapo kwa sasa amehukumiwa kwa kosa la Udanganyifu Moldova.

====

1754387732162.png

A Moldovan court on Tuesday sentenced pro-Kremlin regional leader Evgenia Gutul to seven years in jail for channelling money from Russia to finance a political party

Gutul denied wrongdoing

According to prosecutors, Gutul systematically channelled undeclared funds into Moldova from 2019-2022 to finance the now-banned pro-Moscow "Shor" party set up by Ilan Shor, an exiled pro-Russian businessman convicted of fraud in Moldova




Source: Reuters
 
Back
Top Bottom