KERO Mahakama ya Mwanzo Mjini Sumbawanga ina mahakimu 2 tu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna uhaba wa mahakimu ktk mahakama hii kunakopelekea mrundikano wa mashauri na ulipuaji wa mashauri.

Jaji Mkuu ingilia ktk hili kwa haraka kwani haki inayochelewa ndiyo inayopotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…