Sisi tumekataa kusikiliza hao wataalamu wa nje kwasababu wataalamu wetu wamejiridhisha kwamba ule mradi utakua na manufaa zaidi kuliko hiyo athari ya mazingira wanayosema, sisi tunazalisha umeme ili wananchi waache kukata miti kwa ajili ya kupikia, kumbuka ukataji wa miti kwa ajili ya kutengeneza mkaa ndio unaoharibu mazingira zaidi kuliko kitu chochote.
Ule mto kila mwaka unafurika na kusababisha vifo vya watanzania wengi, ujenzi wa hili bwawa utamaliza kabisa mafuriko na kuokoa maisha ya watanzania. Tutapata umeme ambao ni lazima kwa maendeleo ya nchi.
Tanzania huwa tunajiamulia mambo yetu baada ya kufanya utafiti wa kutosha kwa kutumia wataalamu wetu wazalendo, ninyi wakenya lolote litakalisemwa na wazungu nje ya nchi yenu,nalichukua kama lilivyo, ndio sababu tunawaambia hamna akili ninyi.