Kapewa fursa na Wananchi ya ku-exercise elimu yake bungeni kwa kuwapiga msasa Wabunge na anayorekodi ya kuwangoa baadhi ya mawaziri including waziri wa fedha katika awamu ya nne ya raisi Kikwete kutokana na uwezo wake binafsi wa kujenga hoja,fedha nyingi ambazo zilikuwa either zimeliwa au kuelekea kuliwa na mafisadi ambazo ni fedha za wananchi ziliokolewa na kuelekezwa kwenye miradi ya umma,hilo watanzania wanajua na dunia inajua juu ya mchango wa Zitto kwa miaka takriban 15 akiwa mwakilishi wa wananchi.Wewe endelea kujisahaulisha kwa kuishi kwenye comfort zone kwa shemeji yako,nyau wewe !
Sent from my GT-I9500 using
JamiiForums mobile app