Mahakama ya rufaa Kenya yasema SGR ya Kenya ilijengwa kihuni bila kufuata sheria za Kenya

Judiciary inakua independent lakini Serikali inazidi kuwa na akili mbovu katika kuongoza nchi sio? Mradi mkubwa kama huo hamfuati sheria za nchi, hiyo ndio matokeo ya bajeti kubwa ya Elimu?
1.5 trillion na $12m za makonda kutibiwa vp..
Mpka sai nani ana uwezo wakusema
 
Mjinga huyo, ana support wataalamu wakati kwao walikataa kuwasikiza kuhusu like bwawa lao
 
Ndio muanze kumsikiza mbowe na zitto pia, kwa sababu na wao wanasiasa wa ndani
 
Zitto lazima ana taaluma fulani. Sidhani kama ni kweli kuwa hajasomea fani yoyote ile.
 
Zitto lazima ana taaluma fulani. Sidhani kama ni kweli kuwa hajasomea fani yoyote ile.
Unaweza kusoma lakini kama hujafanyia kazi hicho ulichokisomea elimu yako inapotea. Zitto alipomaliza chuo kikuu akaingia katika siasa za upinzani, hajawahi kufanya kazi katika eneo alilosomea.
 
Sema "yuko rumande" siyo "ako rumande" mnaharibu sana kiswahili ninyi mende
Wewe heshimu Kiswahili cha Kenya. Sio lazima tuongee kama nyie. Hata kuna kiingereza cha Marekani na cha UK. Sio lazima tufanane, sawa nyumbu?
 
Zitto yupo juu ya Dr. Ndii ,upo hapo nyonyo
 
Hatuwezi kuheshimu kiswahili chenu kibovu namna hiyo,jaribuni kuonesha improvement kidogo.Mnakera sana ujue
Wewe heshimu Kiswahili cha Kenya. Sio lazima tuongee kama nyie. Hata kuna kiingereza cha Marekani na cha UK. Sio lazima tufanane, sawa nyumbu?
 
Tanzania ilitaka kuingia kwenye huo mtego Benki ya exim ya china ingetoa pesa za mradi halafu wachina ndio wajenge hiyo pia walitaka kufanya kwenye mradi wa bandari ya dar es salaam wakashitukiwa
 
Kapewa fursa na Wananchi ya ku-exercise elimu yake bungeni kwa kuwapiga msasa Wabunge na anayorekodi ya kuwangoa baadhi ya mawaziri including waziri wa fedha katika awamu ya nne ya raisi Kikwete kutokana na uwezo wake binafsi wa kujenga hoja,fedha nyingi ambazo zilikuwa either zimeliwa au kuelekea kuliwa na mafisadi ambazo ni fedha za wananchi ziliokolewa na kuelekezwa kwenye miradi ya umma,hilo watanzania wanajua na dunia inajua juu ya mchango wa Zitto kwa miaka takriban 15 akiwa mwakilishi wa wananchi.Wewe endelea kujisahaulisha kwa kuishi kwenye comfort zone kwa shemeji yako,nyau wewe !
Wapi ameifanyia kazi hiyo degree katika fani ya UChumi?, au ni degree ya vitabuni?

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…