Mahakama ya Rufani Itoe Ratiba ya Kesi Zote Walizonazo

Mahakama ya Rufani Itoe Ratiba ya Kesi Zote Walizonazo

Kumbe Kuna kundi la wapumbavu bado wanaamini Tanzania Kuna mahakama? Nachelea kusema kwamba ndoto ya Nyerere kufuta ujinga bado sana.

Mahakama na majaji ni kundi la wapumbavu,ndio maana Kuna kiongozi aliwahi chana karatasi ya hukumu ya Jaji(kwa sasa mstaafu).
Hata Rostam Aziz mwaka jana Julai aliwahi kusema kuwa hawezi kupeleka kesi yake Mahakama ya Kisutu kwa vile Mahakimu wanapigiwa na simu "kutoka juu" na maamuzi yanabatilishwa
 
Kumbe Kuna kundi la wapumbavu bado wanaamini Tanzania Kuna mahakama? Nachelea kusema kwamba ndoto ya Nyerere kufuta ujinga bado sana.

Mahakama na majaji ni kundi la wapumbavu,ndio maana Kuna kiongozi aliwahi chana karatasi ya hukumu ya Jaji(kwa sasa mstaafu).
Hata Rostam Aziz alisema simu moja tu inaweza kubadili haki ya mtu.
 
First in First out, tunatajia kesi ya akina Mdee iitwe mwaka 2026/2027
 
Unapoona mtu amekuja mpaka JF kwa suala kama hili ujue mfumo wa kutoa huduma umekufa.

Hata huyu Makonda anapofuatwa na wananchi utambue tu kuwa mfumo wa utendaji wa Mahakama ni Muflisi.

Mbona hata Mwanasheria Mkuu Eleazer Feleshi amekiri kwenye siku ya wiki ya sheria nchini mbele ya Rais Samia.

Ninini wewe hukielewi?
Huyu Kindeena ana dalili zote kuwa ni Mtumishi wa Mahakama ndiyo maana anatetea MEDIOCRITY
 
Bora umeniita ambako wanakupiga spana tena🤣 nilijua ni mimi tu🤣 we bwana huna akili ni king of mediocre kaa utulie
Screenshot_20240521-185249_1.jpg

Nilikuambia Manispaa ya Ubungo imetenga fedha kuhusu miundombinu ya Mitaa ila ukakaza fuvu!
Screenshot_20240521-185249_1.jpg
 
Mimi siyo mtumishi wa Mahakama na wala siishi Tegeta A.
Sasa kama huishi tegeta A kwanini ulikua unabisha kuhusu shida za Tegeta A? Unatetea wapuuzi wenzio utasema unalala nao kitanda kimoja. Punguza kiherehere
 
Mimi siyo mtumishi wa Mahakama na wala siishi Tegeta A.
Wewe una ji expose mno. Tuliosoma Cuba tunmeshakujua. Hata mtu akikutaka kukukamata anakupata despite the fact kwamba unatumia pseudo identity humu
 
Wewe una ji expose mno. Tuliosoma Cuba tunmeshakujua. Hata mtu akikutaka kukukamata anakupata despite the fact kwamba unatumia pseudo identity humu
Ajabu ni kwamba hata sipo Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
 
Back
Top Bottom