Hata Rostam Aziz mwaka jana Julai aliwahi kusema kuwa hawezi kupeleka kesi yake Mahakama ya Kisutu kwa vile Mahakimu wanapigiwa na simu "kutoka juu" na maamuzi yanabatilishwaKumbe Kuna kundi la wapumbavu bado wanaamini Tanzania Kuna mahakama? Nachelea kusema kwamba ndoto ya Nyerere kufuta ujinga bado sana.
Mahakama na majaji ni kundi la wapumbavu,ndio maana Kuna kiongozi aliwahi chana karatasi ya hukumu ya Jaji(kwa sasa mstaafu).
Hata Rostam Aziz alisema simu moja tu inaweza kubadili haki ya mtu.Kumbe Kuna kundi la wapumbavu bado wanaamini Tanzania Kuna mahakama? Nachelea kusema kwamba ndoto ya Nyerere kufuta ujinga bado sana.
Mahakama na majaji ni kundi la wapumbavu,ndio maana Kuna kiongozi aliwahi chana karatasi ya hukumu ya Jaji(kwa sasa mstaafu).
Basi waiweke ratiba iwe inaeleweka kuliko kukaa hujui itakuwa liniFirst in First out, tunatajia kesi ya akina Mdee iitwe mwaka 2026/2027
Wewe endelea kusoma records of appeal, utaitwaBasi waiweke ratiba iwe inaeleweka kuliko kukaa hujui itakuwa lini
Huyu Kindeena ana dalili zote kuwa ni Mtumishi wa Mahakama ndiyo maana anatetea MEDIOCRITYUnapoona mtu amekuja mpaka JF kwa suala kama hili ujue mfumo wa kutoa huduma umekufa.
Hata huyu Makonda anapofuatwa na wananchi utambue tu kuwa mfumo wa utendaji wa Mahakama ni Muflisi.
Mbona hata Mwanasheria Mkuu Eleazer Feleshi amekiri kwenye siku ya wiki ya sheria nchini mbele ya Rais Samia.
Ninini wewe hukielewi?
Kuna mwingine anajiita Guantanamoh alisema mimi kiongozi wa Mtaa wa Tegeta A.Huyu Kindeena ana dalili zote kuwa ni Mtumishi wa Mahakama ndiyo maana anatetea MEDIOCRITY
Bora umeniita ambako wanakupiga spana tena🤣 nilijua ni mimi tu🤣 we bwana huna akili ni king of mediocre kaa utulieKuna mwingine anajiita Guantanamoh alisema mimi kiongozi wa Mtaa wa Tegeta A.
Hivi mtu akiwa anafahamu jambo fulani ni lazima awe muhusika?
Bora umeniita ambako wanakupiga spana tena🤣 nilijua ni mimi tu🤣 we bwana huna akili ni king of mediocre kaa utulie
Nani alikaza fuvu? Bila kupiga kelele na kufichua maovu nani angejua?Nilikuambia Manispaa ya Ubungo imetenga fedha kuhusu miundombinu ya Mitaa ila ukakaza fuvu!
Maovu kakufanyia nani? Ukiambiwa uwe unaelewa.Nani alikaza fuvu? Bila kupiga kelele na kufichua maovu nani angejua?
Miradi yenu ya bajaji isitufanye watu tukose lami. Tuwekeeni lami ndo muendelee na tumiradi twenu twa njaa. nextMaovu kakufanyia nani? Ukiambiwa uwe unaelewa.
Una ujinga mwingi. Pole!Miradi yenu ya bajaji isitufanye watu tukose lami. Tuwekeeni lami ndo muendelee na tumirsdi twenu twa njaa. next
Wewe ni mtumishi wa Mahakama unayeishi Tegeta AKuna mwingine anajiita Guantanamoh alisema mimi kiongozi wa Mtaa wa Tegeta A.
Hivi mtu akiwa anafahamu jambo fulani ni lazima awe muhusika?
Kiande kweli wewe!Una ujinga mwingi. Pole!
🤣🤣🤣🤣 mwananchi huyu ana fuvu la zinjaWewe ni mtumishi wa Mahakama unayeishi Tegeta A
Mimi siyo mtumishi wa Mahakama na wala siishi Tegeta A.Wewe ni mtumishi wa Mahakama unayeishi Tegeta A
Sasa kama huishi tegeta A kwanini ulikua unabisha kuhusu shida za Tegeta A? Unatetea wapuuzi wenzio utasema unalala nao kitanda kimoja. Punguza kiherehereMimi siyo mtumishi wa Mahakama na wala siishi Tegeta A.
Ajabu ni kwamba hata sipo Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.Wewe una ji expose mno. Tuliosoma Cuba tunmeshakujua. Hata mtu akikutaka kukukamata anakupata despite the fact kwamba unatumia pseudo identity humu