Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
OoohoooooKwani nchi ina katiba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OoohoooooKwani nchi ina katiba?
Dominic A. Kalangi alikuwa mfanyakazi wa Shirika la Posta (Tanzania Posts Corporation), mwaka 2017 ajira yake ilisitishwa Kwa utovu wa nidhamu.Mahakama ya Rufaa imejiongoza vibaya kutafsiri hivyo vifungu. Nina imani muda sio mrefu watafanya marejeo au watatoa hukumu nyingine itayorekebisha maamuzi waliyotoa katika Rufaa hii.
Discplinary Matters ni sahihi kupitia mchakato wa ndani kabla ya kwenda CMA au Mahakama Kuu kwa Judicial Review lakini sio sahihi kwa migogoro (disputes) isiyo ya kinidhamu, hii inatakiwa kwenda moja kwa moja CMA maana hakuna sheria inayoelekeza kuwa ishughulikiwe ndani ya taasisi husika au kwamba iende huko Tume ya utumishi wa umma nk. Tume ya utumishi wa umma uwezo wake ni kupokea Rufaa na sio kupokea migogoro iliyo fresh
Mahakama katika hukumu hiyo haijatoa uamuzi kwa kesi ya Dominic tu bali hata kwa kesi za watumishi wengine wa umma zilizopo CMA, na vilevile imezuia kabisa watumishi wa umma wenye migogoro ya kazi na waajiri wao kuwasilisha migogoro hiyo CMADominic A. Kalangi alikuwa mfanyakazi wa Shirika la Posta (Tanzania Posts Corporation), mwaka 2017 ajira yake ilisitishwa Kwa utovu wa nidhamu.
Rais wa Tanzania ni Malkia & Mfalme.na endapo mfanyakazi atakuwa hajaridhika na maamuzi ya Tume ya Utumishi wa Umma basi anatakiwa akate rufaa kwenda Kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na maamuzi ya Rais yatakuwa ya mwisho, hii ni Kwa mujibu wa Kifungu Cha 25 Cha sheria ya utumishi wa umma Public Service Act (Cap 298 R.E. 2019)
Ipoje hiyo Mkuu? Ingekuwa vema ukafafanua ili nipate uelewa kuhusu hiyo judicial review mara baada ya uamuzi wa Rais.Sio sahihi ;
Kuna judicial review.
Sawa mkuu ipo hivi;Ipoje hiyo Mkuu? Ingekuwa vema ukafafanua ili nipate uelewa kuhusu hiyo judicial review mara baada ya uamuzi wa Rais.
Nashukuru kwa ufafanuzi Mkuu, maana kuna ndugu yangu ni Mhanga, amekata Rufaa kwenda kwa Rais mara baada ya kutoridhishwa na maamuzi ya Tume ya Utumishi wa Umma, Rufaa amekata tangu mwaka 2019, lakini bado hajajibiwa mpaka sasa.Sawa mkuu ipo hivi;
Maamuzi ya Rais ni Administrative order na kwakua ni final kwenye ranks za utawala basi njia pekee ya kuya challenge ni kwa kupitia Mahakama ambapo mhusika atapeleka maombi mahakama kuu akiiomba ifanye marejeo ya maamuzi ya Rais na kutoa amri kama yapo sahihi au la.
Kama hajaridhika na maamuzi ya Rais anaweza omba judicial Review Mahakama kuu.Nashukuru kwa ufafanuzi Mkuu, maana kuna ndugu yangu ni Mhanga, amekata Rufaa kwenda kwa Rais mara baada ya kutoridhishwa na maamuzi ya Tume ya Utumishi wa Umma, Rufaa amekata tangu mwaka 2019, lakini bado hajajibiwa mpaka sasa.
Sawa Mkuu, ngoja nisubiri ajibiwe na Rais, kama ikiwa tofauti nitamshauri hili la judicial review.Kama hajaridhika na maamuzi ya Rais anaweza omba judicial Review Mahakama kuu.
Ya mwaka 2019 wakati wa mwendazakeMahakama wametafsiri Sheria ya Utumishi wa Umma.
Kama zinakufa sasa waathirika wanatakiwa kuchukua hatua gani i.e. kuanza tume ya utumishi?Sure, zinakufa kibudu automatically
Hiki kifungu kineanza lini?na je waliofukuzwa kazi kabla ya kifungu hiki wanafanyaje?Watu wengi wanatafsiri vibaya, Sheria ya Utumishi wa Umma inataka watumishi wa Umma waexhaust all remedies kabla ya kwenda CMA au Mahakamani. Hivyo Mtumishi wa Umma (ambapo hata Mashirika ya Umma yanaangukia ndani ya Utumishi wa Umma) wanatakiwa wakiwa aggrieved na maamuzi ya mamlaka zao za ajira au nidhamu (hapa ni mambo yote disputes na nidhamu) wanatakiwa wakate rufaa Tume ya Utumishi wa Umma na wasiporidhika na uamuzi basi wakate rufaa kwa Rais, Rais akishatoa uamuzi wake ambapo ni highest kwenye Executive hapo sasa wanaweza kwenda Mahakamani.
Kilichokuwa kinafanyika ni watumishi wa umma kwenda CMA kabla hawajaexhaust all remedies kama Sheria ya Utumishi wa Umma Kifungu 32A kilivyotamka.
Ni zaidi ya MUNGU aseeRais ana madaraka makubwa mno..
Hatuna mahakama isipokuwa ni tawi la CCMHiki kifungu kineanza lini?na je waliofukuzwa kazi kabla ya kifungu hiki wanafanyaje?
Tunaomba uweke hapa hayo maombi yako,plz!!Tarehe 19.05.2022, nimefungua Review katika Mahakama ya Rufaa Tanzania, iweze kurejea uamuzi wake huo kwa kuwa ni batili na umeleta shida kwa umma (jamii) hususani watumishi wa umma. Ni maombi namba 265/07 ya 2022, ninasubiri tarehe ya kusikilizwa tukaweke mambo sawa ili haki waliyoporwa watumishi wa umma irejeshwe kisheria.
Tunaomba uweke hapa hayo maombi yako,plz!!
Sasa hapo uhuru wa mahakama kama muhimili huru uko wapi?upitia kesi ya rufaa ya madai CIVIL APPEAL NO. 12 OF 2022 TANZANIA POSTS CORPORATION VERSUS DOMINIC A. KALANGI mahakama hiyo ya juu zaidi ya Tanzania imesema migogoro ya wafanyakazi wa umma inatakiwa kuishia ndani ya Serikali, pale mfanyakazi anapofukuzwa kazi na mkuu wa idara au shirika la Serikali anatakiwa kukata Rufaa kwenda Tume ya Utumishi wa Umma, na endapo mfanyakazi atakuwa hajaridhika na maamuzi ya Tume ya Utumishi wa Umma basi anatakiwa akate rufaa kwenda Kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na maamuzi ya Rais yatakuwa ya mwisho, hii ni Kwa mujibu wa Kifungu Cha 25 Cha sheria ya utumishi wa umma Public Service Act (Cap 298 R.E. 2019)