Mahakama ya Rufani Tanzania ina Majaji 31 wakati Supreme court ya Marekani ina majaji 9 tu. Tutaendelea kukopa madeni kwa sana!

Status
Not open for further replies.
Angalia ATCL kila siku wanadeclare hasara, lakini kila siku wanaajiri maapilot na staff wengine halafu huku kwenye ground kila kitu kinasuasua.
 
Mkuu hizi huwa ni porojo za hawa watoa misaada ili waendelee kutuzamisha zaidi. Na ni porojo za wala mema ya nchi ili waendelee kupeana vyeo.

Zanzibar kuna majimbo yana ukubwa sawa na Kijiji na wapiga kura wasiozidi 2000, humo humo kuna mwakilishi, mbunge, sheha (diwani), rais wa JMT na rais wa baraza la mapinduzi. Mbona Zanzibar haijapiga hatua na kuwa kama Dabai?

Kwa maoni yangu tulipaswa kupunguza ukubwa wa matumizi ya serikali kwa kuwa na wabunge 60 tu. Kwasabb hawa wabunge siyo kweli kwamba wanaonana na mwananchi mmoja mmoja
Huo ni ukweli, idadi ya wabunge ipungue kwa sababu hata uwakilishi wao huko bungeni hauna tija kwa asilimia kubwa tu. Sioni sababu ya kuwa na wabunge 300+ wakati baada ya uchaguzi hakuna wanalofanya kwa wananchi, hata kutembelea majimbo yao wengine hawana mda huo.

Serikali ipunguze matumizi kwa kweli.
 
Yes! Wapo kama takwa la kisheria tu lkn kiukweli hawana umuhimu wowote. Siku nikiwa rais nitalifuta bunge. Ama nitafanya kila mkoa kuwa na mbunge mmoja
 
Unajichanganya Kwetu Supreme ndio hiyo ya Rufani......tunaongelea mahakama za juu bila kujali Grades za kila nchi. Lakini tuelewani kwa marekani ndio mahakama ya juu na tanzania ndio ya juu pia.
Ndiyo maana nikasema ni makosa kulinganisha mahakama turufu (supreme court) ya Marekani na mahakama kuu Bongo.

Nchini Marekani kila jimbo katika majimbo yote 50 (51 Ukreni ikiongezeka mwakani?) lina mahakama turufu.

Hii ina mamlaka ya kutoa hukumu nyingi zisizoingiliwa kabisa na mahakama turufu ya shirikisho (federal supreme court).

Kwa lugha nyingine, nchi hiyo hutambua maamuzi mengi ya mahakama turufu za majimbo kuwa ni sawa na hukumu za mahakama turufu ya Marekani.

Jambo hili huzifanya mahakama turufu za majimbo kuipunguzia kazi lukuki mahakama turufu ya Marekani.

Mwisho, hoja yako ni sawa kudai kwamba Form 6 ya Bongo ni kama tu Form 4 Kenya kwa kigezo cha kwamba vyote ni mwisho wa elimu ya sekondari. Huko ni kusifia idadi au mwonekano na kupuuza ubora.
 
Hapo napingana na wewe mkuu,

Denmark ina watu milioni 6 na ukubwa wa kilometa za mraba 42,000.

Tanzania tupo milioni 60 na nchi ina ukubwa wa kilometa za mraba laki tisa.

Hivyo kwenye swala la wabunge bado hatujaharibu sana ni haki kabisa.

Kwani kwa Denmark kila mbunge anawakilisha wastani wa watu elfu 35 ,

Wakati kwa Tanzania kila mbunge anawakilisha watu alm
Licha ya nchi hiyo kuwa na idadi ndogo sana ya idadi ya Watu pamoja na kuwa na eneo dogo la kijiografia ukilinganisha na Tanzania, lakini bado Ina maendeleo makubwa kuizidi nchi hii ya Tanzania.
 
Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha.

Utangulizi
Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022.

Tanzania ina wananchi wapatao Milioni 65+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022.

Wakati Marekani ina idadi ya Raia inayozidi ya Tanzania zaidi ya mara tano sisi Tanzania tuna idadi ya Majaji takribani mara nne ya ile ya marekani.
View attachment 3012347
View attachment 3012348
Tafakuli:
Wakati Nchi yetu kwa sehemu kubwa inaongozwa na bajeti inayotegemea mikopo kuhudumia wananchi na sehemu kadhaa ya kodi zinazokusanywa itakushangaza kuwa Tuna idadi kubwa ya Wateule na vigogo wa serikali wanaohudumiwa kila kitu kwa pesa hizo hizo za Kasungura kadogo.

Ikumbukwe kwa mujibu wa Sheria inayosimamia maslahi ya Watumishi wa Umma majaji ni miongoni mwa wanaolipwa na kuhudumiwa kifahari kutokana na hadhi yao pamoja na kuwa na mishahara minono.

Sasa tujiulize kwanini sisi wenye maeneeleo kidogo tunaonekana kuwa na matumizi makubwa wakati Nchi zenye watu wengi na shuguuli nyingi zikiwa na matumizi yakawaida na kuacha sehemu ya mapato yao yahudumie wananchi? Sisi tunakwamba wapi?

Ikumbukwe hapa tumeangalia sehemu ndogo tu ktk sekta hii ya watumishi wa Umma

Fikiria matumizi yakoje ktk ofisi zifuatazo

1. Ikulu
2. Ofisi ya waziri Mkuu
3. Ofisi ya Spika wa bunge
4. Ofisi ya DGIS
5. Ofisi ya CDF
6. Ofisi ya Makamu wa Rais
7. Ofisi ya IGP
8. Ofisi ya Takukuru

Hata tungekopa kiasi gani, hata wananchi walipe kodi kiasi gani tunadhani zitatosha?

Mapendekezo:

Chama cha mapinduzi kiangalie upya namna bora ya kusuka na kuunda serikali ili kulinda na kuweka akiba kwa ajili ya kutoa huduma bora kwa Wananchi badala ya kuwa na matumizi makubwa kwa watu wachache tu Mwisho wa siku tuko mwaka wa 60 madarakani bado changamoto za maendeleo na ustawi wa raia ziko pale pale.

Na nyie viongozi na vigogo mnaokula Jasho letu basi kuweni na huruma hata kidogo basi.

Nawatakia utumishi mwema na uchapa kazi watumishi wote wa umma waadilifu kwa Ajili ya Mama Tanzania.
Dubai hawana rasilimali kama Nigeria yet Dubai ipo juu.Kitu kikubwa ni leadership chama cha mapinduzi hakiwez kwasasa kujifumua kwa utaratibu uliopo.Inabidi aje Rais kama Nayib Bukele wa El salvador huenda akakifumua ccm(atoke humohumo).Kitu kizuri kuhusu hiihii katiba tunayoikataa inayompa madaraka mengi Rais atayatumia hayohayo madaraka kuisuka nchi na kukifumua vzur chama chake.Thise time is not far na nnamuona Boss aliyeko kaskazini kwasasa huenda akakikwaa japo sio kesho!
 
Ukiamua kuleta hoja fulani ni vizuri ukajielimisha ili upate ufasaha wa kile unachokusaidia kutulisha vinginevyo utatulisha matango pori.

Kwanza kabisa muundo wa Mahakama wa Marekani ni tofauti na wa kwetu.
Kwa mfano mdogo kwenye hoja yako USA wana Supreme court moja tu nchi nzima. Ndio maana umeona wana majaji 9 tu.

Sisi hatuwezi kuwa Majaji wachache kiasi hicho katika ngazi ya Mahakama ya Rufaa kwa sababu tuna Mahakama za rufaa zaidi ya moja.

Ukiamua kuhesabu Majaji waliopo USA utakuta idadi yao ni kubwa kuliko idadi ya Majaji na Mahakimu wetu kwa pamoja.
 
Magufuli alikuwa kiongozi mzuri tukubali tukatae pamoja na mapungufu yake kama binaadamu
Kiongozi mzuri kwa ngazi ya kitaifa ni yule mwenye nia na uwezo wa kutengeneza mifumo ya taasisi. Kwa mfano angerekebisha mfumo wa wa Jeshi la polisi na mfumo wa haki kwa ujumla.
Magufuli alichojaribu ni kutengeneza mifumo ya ukusanyaji fedha tu. Mengine ameyaacha kama alivyoyakuta.
 
Dubai hawana rasilimali kama Nigeria yet Dubai ipo juu.Kitu kikubwa ni leadership chama cha mapinduzi hakiwez kwasasa kujifumua kwa utaratibu uliopo.Inabidi aje Rais kama Nayib Bukele wa El salvador huenda akakifumua ccm(atoke humohumo).Kitu kizuri kuhusu hiihii katiba tunayoikataa inayompa madaraka mengi Rais atayatumia hayohayo madaraka kuisuka nchi na kukifumua vzur chama chake.Thise time is not far na nnamuona Boss aliyeko kaskazini kwasasa huenda akakikwaa japo sio kesho!
Factor Kuu Kabisa ya nchi yoyote ile ili iweze Kuendelea au kuwa na Maendeleo Makubwa ni AKILI NZURI. Ni lazima kwanza Watu (Wananchi) wake wawe na akili nzuri, ndipo Mambo mengine yote yatafuata na yanaweza kuwa mazuri.
 
Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha.

Utangulizi
Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022.

Tanzania ina wananchi wapatao Milioni 65+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022.

Wakati Marekani ina idadi ya Raia inayozidi ya Tanzania zaidi ya mara tano sisi Tanzania tuna idadi ya Majaji takribani mara nne ya ile ya marekani.
View attachment 3012347
View attachment 3012348
Tafakuli:
Wakati Nchi yetu kwa sehemu kubwa inaongozwa na bajeti inayotegemea mikopo kuhudumia wananchi na sehemu kadhaa ya kodi zinazokusanywa itakushangaza kuwa Tuna idadi kubwa ya Wateule na vigogo wa serikali wanaohudumiwa kila kitu kwa pesa hizo hizo za Kasungura kadogo.

Ikumbukwe kwa mujibu wa Sheria inayosimamia maslahi ya Watumishi wa Umma majaji ni miongoni mwa wanaolipwa na kuhudumiwa kifahari kutokana na hadhi yao pamoja na kuwa na mishahara minono.

Sasa tujiulize kwanini sisi wenye maeneeleo kidogo tunaonekana kuwa na matumizi makubwa wakati Nchi zenye watu wengi na shuguuli nyingi zikiwa na matumizi yakawaida na kuacha sehemu ya mapato yao yahudumie wananchi? Sisi tunakwamba wapi?

Ikumbukwe hapa tumeangalia sehemu ndogo tu ktk sekta hii ya watumishi wa Umma

Fikiria matumizi yakoje ktk ofisi zifuatazo

1. Ikulu
2. Ofisi ya waziri Mkuu
3. Ofisi ya Spika wa bunge
4. Ofisi ya DGIS
5. Ofisi ya CDF
6. Ofisi ya Makamu wa Rais
7. Ofisi ya IGP
8. Ofisi ya Takukuru

Hata tungekopa kiasi gani, hata wananchi walipe kodi kiasi gani tunadhani zitatosha?

Mapendekezo:

Chama cha mapinduzi kiangalie upya namna bora ya kusuka na kuunda serikali ili kulinda na kuweka akiba kwa ajili ya kutoa huduma bora kwa Wananchi badala ya kuwa na matumizi makubwa kwa watu wachache tu Mwisho wa siku tuko mwaka wa 60 madarakani bado changamoto za maendeleo na ustawi wa raia ziko pale pale.

Na nyie viongozi na vigogo mnaokula Jasho letu basi kuweni na huruma hata kidogo basi.

Nawatakia utumishi mwema na uchapa kazi watumishi wote wa umma waadilifu kwa Ajili ya Mama Tanzania.

Ndugu yangu, ufahamu kuwa tuna Serikali na chama ambacho kinajua zaidi kula kuliko kuzalisha.

Kwa Setikali ya CCM, siyo nafasi ndiyo inayotengeneza hitaji la mtu, bali mtu hutengenezewa nafasi ili ale. Kwa hiyo kama kuna watu 100 mteule anataka laza wale kodi za wananchi maskini, zitatengenezwa nafasi 100 hata kama mahitaji halisi ilikuwa nafasi 10 tu. Nafasi 100 zitatengenezwa zikiwa na kamba ndefu kuwawezesha hao wateule 100 kula parefu kutokana na urefu wa kamba zao, wakiwa na ruhusa kamili kula mpaka kamba zao zinapoishia, kama ambavyo Rais Samia alisisitiza.
 
He mfumo wa Sheria wa Marekani unafanana na wa kwetu? Kesi zikilundikana mnalalamika, ikiongezwa nguvu kazi mnalalamika!

Tatizo la mahakama za Tanzania siyo upungufu wa watendaji wa mahakama, bali ufanisi mbovu, sawa na ilivyo taasisi zote za Serikali.
 
Ndugu yangu, ufahamu kuwa tuna Serikali na chama ambacho kinajua zaidi kula kuliko kuzalisha.

Kwa Setikali ya CCM, siyo nafasi ndiyo inayotengeneza hitaji la mtu, bali mtu hutengenezewa nafasi ili ale. Kwa hiyo kama kuna watu 100 mteule anataka laza wale kodi za wananchi maskini, zitatengenezwa nafasi 100 hata kama mahitaji halisi ilikuwa nafasi 10 tu. Nafasi 100 zitatengenezwa zikiwa na kamba ndefu kuwawezesha hao wateule 100 kula parefu kutokana na urefu wa kamba zao, wakiwa na ruhusa kamili kula mpaka kamba zao zinapoishia, kama ambavyo Rais Samia alisisitiza.
Hahahaha.....Twafaa
 
Tatizo la mahakama za Tanzania siyo upungufu wa watendaji wa mahakama, bali ufanisi mbovu, sawa na ilivyo taasisi zote za Serikali.
May be this is a problem au tuna migogoro mingi ya kisheria kuliko Taifa la Marekani lenye watu 330+ M
 
Factor Kuu Kabisa ya nchi yoyote ile ili iweze Kuendelea au kuwa na Maendeleo Makubwa ni AKILI NZURI. Ni lazima kwanza Watu (Wananchi) wake wawe na akili nzuri, ndipo Mambo mengine yote yatafuata na yanaweza kuwa mazuri.
Hii nayo ni pointi aisee
 
Kiongozi mzuri kwa ngazi ya kitaifa ni yule mwenye nia na uwezo wa kutengeneza mifumo ya taasisi. Kwa mfano angerekebisha mfumo wa wa Jeshi la polisi na mfumo wa haki kwa ujumla.
Magufuli alichojaribu ni kutengeneza mifumo ya ukusanyaji fedha tu. Mengine ameyaacha kama alivyoyakuta.
This was porous kind of amendment.......kwa upande wangu nadhani alijali sana kujenga na kuimarisha chama kuliko Taifa.
 
Kiongozi mzuri kwa ngazi ya kitaifa ni yule mwenye nia na uwezo wa kutengeneza mifumo ya taasisi. Kwa mfano angerekebisha mfumo wa wa Jeshi la polisi na mfumo wa haki kwa ujumla.
Magufuli alichojaribu ni kutengeneza mifumo ya ukusanyaji fedha tu. Mengine ameyaacha kama alivyoyakuta.
Kwa muda aliyokaa na aliyoyafanya ni makubwa mno aliweza kuleta uwajibikaji kwenye sekta ya umma kitu ambacho marais wetu karibia wote walishindwa
hizi fly overs na miundominu tuliona kama ndoto ila akakamilisha,
UKiacha mapungufu yake ya kuchukia matajiri, he did his best for this country
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom