Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Mungu anapanga yote, maisha yetu yapo chini yake... haikupangwa kutimia 🙏2018 February Hayati Dr Magufuli wakati akiwapisha majaji alisema kuna majaji wakati wa Likizo wanaenda kula bata nje ya nchi na familia zao.
Hayati aliongeza kwa kusema anawafatilia kwa ukaribu kuona hizo pesa wanazitoa wapi.
Bahati Mbaya Mwenyezi Mungu alimchukua kabla hajafanya ukarabati na muundo mpya wa taasisi hiyo nyeti ya utoaji haki.