Mahakama ya Rufani Tanzania ina Majaji 31 wakati Supreme court ya Marekani ina majaji 9 tu. Tutaendelea kukopa madeni kwa sana!

Mahakama ya Rufani Tanzania ina Majaji 31 wakati Supreme court ya Marekani ina majaji 9 tu. Tutaendelea kukopa madeni kwa sana!

Status
Not open for further replies.
2018 February Hayati Dr Magufuli wakati akiwapisha majaji alisema kuna majaji wakati wa Likizo wanaenda kula bata nje ya nchi na familia zao.

Hayati aliongeza kwa kusema anawafatilia kwa ukaribu kuona hizo pesa wanazitoa wapi.

Bahati Mbaya Mwenyezi Mungu alimchukua kabla hajafanya ukarabati na muundo mpya wa taasisi hiyo nyeti ya utoaji haki.
Mungu anapanga yote, maisha yetu yapo chini yake... haikupangwa kutimia 🙏
 
Ukiamua kuleta hoja fulani ni vizuri ukajielimisha ili upate ufasaha wa kile unachokusaidia kutulisha vinginevyo utatulisha matango pori.

Kwanza kabisa muundo wa Mahakama wa Marekani ni tofauti na wa kwetu.
Kwa mfano mdogo kwenye hoja yako USA wana Supreme court moja tu nchi nzima. Ndio maana umeona wana majaji 9 tu.

Sisi hatuwezi kuwa Majaji wachache kiasi hicho katika ngazi ya Mahakama ya Rufaa kwa sababu tuna Mahakama za rufaa zaidi ya moja.

Ukiamua kuhesabu Majaji waliopo USA utakuta idadi yao ni kubwa kuliko idadi ya Majaji na Mahakimu wetu kwa pamoja.
Mkuu mjadala unapokuja mezani maana yake ujadiliwe na watu wachangie. Wakosoe, warekebishe na kuboresha.
Asante kwa kufanya hivyo
 
Kwa muda aliyokaa na aliyoyafanya ni makubwa mno aliweza kuleta uwajibikaji kwenye sekta ya umma kitu ambacho marais wetu karibia wote walishindwa
hizi fly overs na miundominu tuliona kama ndoto ila akakamilisha,
UKiacha mapungufu yake ya kuchukia matajiri, he did his best for this country
Kuhusu sustainability kaka.......Kama hakuna systematic approach ukifa au ukitoka madarakani vyote vinakufa.
 
Kwa muda aliyokaa na aliyoyafanya ni makubwa mno aliweza kuleta uwajibikaji kwenye sekta ya umma kitu ambacho marais wetu karibia wote walishindwa
hizi fly overs na miundominu tuliona kama ndoto ila akakamilisha,
UKiacha mapungufu yake ya kuchukia matajiri, he did his best for this country
Matajiri wana kiburi sana! Nafkiri ndomana aliwachukia.

Tazama saiv hawa matajiri wa kiarabu na kihindi walivyo wanyanyasaji, makatili na wenye viburi na dharau kwa serikali na raia wake. Siku hizi wameongezeka matajiri wa kichina nchini.

Yaan wanadharau mpaka wazawa wenye nchi yao, na wakati haohao ndo wanawatumia kama cheap labours.

Wapo waliotekwa, wakafanyiwa ukatili, wengine hadharani na kunyimwa stahiki zao... Polisi wote wapo chini yao, Mlalahoi atasema nini?! Unaweza kuwa na jeuri hiyo ukiwa kwao hata kama wewe ni trilionea?!

Hiki ndo alikuwa hakitaki mzee! Angekuwepo hawa kenge wa kiarabu na kihindi mbona saiv wangekuwa na adabu wote.

Unajua kwamba kuna matajiri wana jeuri hata ya kumvimbia Waziri hata Rais kama ana njaa njaa na tamaa?! Hapa kwetu tunao, tunapoelekea watakuwa na jeuri mpaka ya ku-suggest Rais awe nani... Mfano rahisi ni GSM na jopo lake...(waangalieni kwa makini sana)

(naizungumzia GSM yote na vibaraka wake)
 
Imeenda wapi? hapo unapate net ya kuingia hapa? ni Wilaya gani haina mawasiliano ya internet hapa bongo?
Kusikiliza kesi na kufanya maamuzi ni suala la nyeti sana siyo la kutumia mifumo hii ambayo muda mwingi haifanyi kazi sawa sawa.
 
2018 February Hayati Dr Magufuli wakati akiwapisha majaji alisema kuna majaji wakati wa Likizo wanaenda kula bata nje ya nchi na familia zao.

Hayati aliongeza kwa kusema anawafatilia kwa ukaribu kuona hizo pesa wanazitoa wapi.

Bahati Mbaya Mwenyezi Mungu alimchukua kabla hajafanya ukarabati na muundo mpya wa taasisi hiyo nyeti ya utoaji haki.
Bunge ndiyo chombo pekee yenye uwezo wa kuunda vizuri muundo wa mahakama, Magufuli yeye angeanzia kwenye katiba. ila kutokana na msimamo wake kuhusu katiba hivyo alikuwa anakudanganya.
 
Bunge ndiyo chombo pekee yenye uwezo wa kuunda vizuri muundo wa mahakama, Magufuli yeye angeanzia kwenye katiba. ila kutokana na msimamo wake kuhusu katiba hivyo alikuwa anakudanganya.
Duuh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom