REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Pale serikali ya nchi inapokua siyo ya kifisadi inakua ni burdani sana.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wafanyabiashara wawili; Magdalena Uhwello na Halima Nsubuga kulipa faini ya Sh 101 milioni au kwenda jela miaka 20 baada ya kukiri kufanya biashara ya upatu na utakatishaji fedha. #AzamTVUpdates
Mahakama pia imetaifisha Dola za Marekani 124,433 zilizopo kwenye akaunti ya Equity Tanzania na Dola za Marekani 263,567 zilizopo kwenye akaunti ya Equity Uganda, fedha za wafanyabiashara hao.#AzamTVUpdates #Azam
News