Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Redhill Ile yenye njia nne?Acha kuleta aibu kijana...Kibaha highway imefika wapi? Hii naweza linganisha na Redhill Ila bado naona bado kidogo...weka picha my friend.
Magu kiboko nasikia wa Morroco wanasua sua kutoa pesa ya ground la Dom jamaa ana achana nao kama alivyo wafanyia WB kwenye Kibaha Highway. Soon mchakato unakamilishwa. Hiyo pesa inatosha kabisa.
Aaaahem! Serikali inayowafyatulia viongozi wa upinzani risasi na kuwakamata wanahabari?Hii serikali inaweka record ambayo kuvunjwa inaweza chukua miongo mingi sana.. Hamna kucheka na nyani.
Weka yenu kumi 😂😂😂 ama haijakamilika? Vyuma vinakaza Kama kawaida??😭😭Redhill Ile yenye njia nne?Acha kuleta aibu kijana...
Mshua JPM noma sana nitamchagua tena 2020Magu kiboko nasikia wa Morroco wanasua sua kutoa pesa ya ground la Dom jamaa ana achana nao kama alivyo wafanyia WB kwenye Kibaha Highway. Soon mchakato unakamilishwa. Hiyo pesa inatosha kabisa.
Kwani anagombea tena si kasema kazi ya urais ni ngumuMshua JPM noma sana nitamchagua tena 2020
Picha za Redhill zimejaa humu, SI utujazie za kibaka pia badala ya Domo domoRedhill Ile yenye njia nne?Acha kuleta aibu kijana...
Soma ningeandika "pale serikali inapokua..." nimefurahi serikali kupinga aina zote za ufisadi, kwani hizo pesa ni za equity au za watanzania?
Wee fala kaa hapo usifie-sifie tu huku unalipwa buku 7 kama wale matahira wenzako wengine wa Lumumba..Kitu ninachoipendea serikali ni hicho tu, halafu hizi pesa lazima zimfikie mwananchi wa kawaida, umeona msamaha ule tayari umeleta billion zaidi ya 100, this is a lot of money
Hizi pesa zitazidi kujenga miundombinu mingi sana
Wee fala kaa hapo usifie-sifie tu huku unalipwa buku 7 kama wale matahira wenzako wengine wa Lumumba..
Hujui chochote ya kinachoendelea..
Njoo kule Jukwaa la Siasa acha kudanga humu kwenye platform ya Kenya..
Jinga.
Magu kiboko nasikia wa Morroco wanasua sua kutoa pesa ya ground la Dom jamaa ana achana nao kama alivyo wafanyia WB kwenye Kibaha Highway. Soon mchakato unakamilishwa. Hiyo pesa inatosha kabisa.
Wewe kama mimi aisee, kunajamaa anahusika na huo mradi nilimbishia akawa analeta siasa, akidai mchakato umesha sogea sana nikamwambia ajaribu ku google viwanja vya Morroco alinganishe na huo unao taka kujengwa Dom. Mwisho nikamwambia kama Morroco wakijenga Dom uko kwao watu watapiga kelele sana.To be honest toka awali nilijua jamaa pangu pakavu nitilie mchuzi tu! [emoji3]
Umemaliza kutanga tanga tao uku ukiwa unatafuna mhindi!Kibaha highway imefika wapi? Hii naweza linganisha na Redhill Ila bado naona bado kidogo...weka picha my friend.
Hamna kitu pale, kwanza wala hakutegemea JPM angemwambia kitu kikubwa hivyo, ujue awali alimwambia JPM amwambie maeneo mawili Morroco inaweza kuisaidia Tanzania sa jamaa sijui alitegemea angetajiwa ununuzi wa makopo ya paracetamol au box za chalks, ila uwanja lazima ujengwe kwa pesa za Tanzania.Wewe kama mimi aisee, kunajamaa anahusika na huo mradi nilimbishia akawa analeta siasa, akidai mchakato umesha sogea sana nikamwambia ajaribu ku google viwanja vya Morroco alinganishe na huo unao taka kujengwa Dom. Mwisho nikamwambia kama Morroco wakijenga Dom uko kwao watu watapiga kelele sana.
Wewe nenda ka report taarifa zako sehemu sahihi.Aaaahem! Serikali inayowafyatulia viongozi wa upinzani risasi na kuwakamata wanahabari?
Tatizo umedandia train kwa mbele.Ujenge uwanja kwa dola 400k?
Man stop this nonsense!
Tatizo umedandia train kwa mbele.
Woman stop this nonsense!
Mleta mada amezungumzia waliokamatwa na kutoa taarifa izo akaunti zao ni kwenye benk ipi. Au alikwambia kama benki imetikisika? labda sijapaona apo unionesheMuulize mleta mada km alikua na dhamira gani kufungua huu uzi
Mleta mada amezungumzia waliokamatwa na kutoa taarifa izo akaunti zao ni kwenye benk ipi. Au alikwambia kama benki imetikisika? labda sijapaona apo unioneshe