Ukiwa na tabia ya kutojiamini na kujishtukia ndo unakuwa na waswas kama wakoNa hutoweza kumuelewa milele dhamira yake basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na tabia ya kutojiamini na kujishtukia ndo unakuwa na waswas kama wakoNa hutoweza kumuelewa milele dhamira yake basi
Magufuli is a freaking murderer. Anaweka smile fake na kumbe ni mamba hatari!Wewe nenda ka report taarifa zako sehemu sahihi.
Ukiwa na tabia ya kutojiamini na kujishtukia ndo unakuwa na waswas kama wako
Ishu ipi?Unayasema wewe hayo...
Mi mbna hta hyo ishu nimesha achan nayo
Ishu ipi?
InsecuredEndelea kuzuga tu
ndio nn mkuu?D9 hiyo
Hao walikuwa wa D9
We jamaa na lafudhi yako unatokea Nanjilinji bila shaka hujui unacho kiandikaKitu ninachoipendea serikali ni hicho tu, halafu hizi pesa lazima zimfikie mwananchi wa kawaida, umeona msamaha ule tayari umeleta billion zaidi ya 100, this is a lot of money
Hizi pesa zitazidi kujenga miundombinu mingi sana