Kwani uliambiwa lengo ni Bank itikisike?Sasa si wenye account wabongo tu...yani benki hta haijatikisika
Kwani uliambiwa lengo ni Bank itikisike?
Kitu ninachoipendea serikali ni hicho tu, halafu hizi pesa lazima zimfikie mwananchi wa kawaida, umeona msamaha ule tayari umeleta billion zaidi ya 100, this is a lot of moneyHii serikali inaweka record ambayo kuvunjwa inaweza chukua miongo mingi sana.. Hamna kucheka na nyani.
ila kuna umuhimu na Equity bank wawe fined kwa kuruhusu Account za namna hii kufunguliwa Upatu unakatazwa kisheria!Kwani uliambiwa lengo ni Bank itikisike?
Magu kiboko nasikia wa Morroco wanasua sua kutoa pesa ya ground la Dom jamaa ana achana nao kama alivyo wafanyia WB kwenye Kibaha Highway. Soon mchakato unakamilishwa. Hiyo pesa inatosha kabisa.Kitu ninachoipendea serikali ni hicho tu, halafu hizi pesa lazima zimfikie mwananchi wa kawaida, umeona msamaha ule tayari umeleta billion zaidi ya 100, this is a lot of money
Hizi pesa zitazidi kujenga miundombinu mingi sana
To be honest toka awali nilijua jamaa pangu pakavu nitilie mchuzi tu! πMagu kiboko nasikia wa Morroco wanasua sua kutoa pesa ya ground la Dom jamaa ana achana nao kama alivyo wafanyia WB kwenye Kibaha Highway. Soon mchakato unakamilishwa. Hiyo pesa inatosha kabisa.
Kumbuka hiyo ni foreign currency karibu dollars 400k parefu sana hapo, hizi pesa banks huwa wanazifanyia trading hazikai bure.
Kwani uliambiwa lengo ni Bank itikisike?
Kibaha highway imefika wapi? Hii naweza linganisha na Redhill Ila bado naona bado kidogo...weka picha my friend.Magu kiboko nasikia wa Morroco wanasua sua kutoa pesa ya ground la Dom jamaa ana achana nao kama alivyo wafanyia WB kwenye Kibaha Highway. Soon mchakato unakamilishwa. Hiyo pesa inatosha kabisa.
Upo kajidanganya... Pesa bado wanakula wachache wanyonge tumetengwaKitu ninachoipendea serikali ni hicho tu, halafu hizi pesa lazima zimfikie mwananchi wa kawaida, umeona msamaha ule tayari umeleta billion zaidi ya 100, this is a lot of money
Hizi pesa zitazidi kujenga miundombinu mingi sana
Kwa hiyo unadhani hizo pesa kumfikia mwananchi wa kawaida ni kamuamala ka mpesa kuingia kwenye simu yako πππUpo kajidanganya... Pesa bado wanakula wachache wanyonge tumetengwa