Mahakama ya UAE imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha waislamu wa siasa kali 53 kwa makosa ya ugaidi


Wakristo kina nani ?

Yesu kapigana vita gani ? Maana Yesu ndie mwenye ukristo wake
 
Magaidi wote wanafadhiliwa na mataifa ya magharibi,jifunze tu hapo msumbiji baada kugundua gesi na mfaransa kuwa mwekezaji mkubwa nini kilifuata
Na sasa Rwanda amejiweka hapo........yaleyale ya M23 DRC, TOTAL (FRANCE) + KAGAME (RDF)..........wamecheza changa la macho na wale magaidi wa msumbiji na kibiti wote wanalishwa na mkono mmoja.........hii michezo wameifanya sana mashariki ya kati na maeneo ya Sahel
 
Wakristo kina nani ?

Yesu kapigana vita gani ? Maana ndio mwenye ukristo wake
Baba yenu mrumi,,,,maana kwa asilimia 100 wakristo wa africa hasa hapa bongo hata uwe dhehebu lipi wote mmetoka ubavuni kwa mrumi,,,,,,ni wa orthodox pekee hawajatoka ubavuni kwa warumi na kwa Africa sehem pekee walipokua tokea zamani ni Ethiopia na Egypt tu,,, hizo kelele zenu za Taifa teule ni matokeo ya hizo vita za msalaba za mrumi
 
No offense huelewi hata ukristo ukoje, Yesu ni mwana wa Mungu ila si Mungu
 
Kuna sababu kwanini mtu hadi awe padri inachukua miaka mingi sana,,,ukristo ukiuchukulia kwa stori za juujuu hasa kimwili utatoka kapa,,,,,,Yesu ni code.,,tuishie hapa kwa leo
 
Hata magaidi ya humu JF hayana nafasi
 
We jamaa ni MUONGO!
Anwar Sadat hajauliwa na Muslim Brotherhood.
Assassination yake ilifanywa na kiongozi aliyemfuatia kwa kumtumia moja kati ya askari wake,na hata Gaddafi alikemea hili.
Kumekua na mapinduzi ya kijeshi hapo Misri ambayo hayahusiani na Muslim brotherhood.
Hiyo Elsisi alimpindua Morsi kwa usaidizi wa USA,na hilo lilifuatia baada ya kuonekana Morsi alikua akizidi kuchochea chuki dhidi ya Israel na akiwaunga mkono sana Hamas.

Usitudanganye hapa.
 
Kuna tofauti kati ya Mungu tunayemuabudu Wakristo na huyo Allah wenu.

Mungu wetu sisi anatupigania, ila nyinyi Allah wenu nyinyi ndiyo mnampigania
Hatumpiganii Mungu bali tunapigania imani yetu.
Ndio maana waislam tuna imani thabiti kuliko ninyi ambao Mungu wenu(Yesu)alikufa kisa madhambi yenu mliomkosea.
 

Hiyo unatunga wewe.

Wakristo ni neno la kifupi. Maana yake ni wafuasi wa yesu kristo.

Yesu ndie baba wa ukristo.

Mtume muhammad ndie baba wa uisilamu
 
Hiyo unatunga wewe.

Wakristo ni neno la kifupi. Maana yake ni wafuasi wa yesu kristo.

Yesu ndie baba wa ukristo.

Mtume muhammad ndie baba wa uisilamu
Nyie aliewaletea huo ukristo huku ni warumi,,, hakuna mtakatifu aliefika huku,,,ndo maana hata dini yenyewe ni zao la ukoloni,,,asingekuja mkoloni hadi leo msingeujua huko ukristo,,,ukristo pure wamebaki nao wa orthodox, hata hapo Ethiopia walifika mitume wa yesu ndo maana version yao ya ukristo ni tofauti na huu ulioletwa na ukoloni, asilimia kubwa ya ukristo ulioletwa na ukoloni umejaa propaganda za ma zionist na warumi
 
No offense huelewi hata ukristo ukoje, Yesu ni mwana wa Mungu ila si Mungu
Yote ni partner in crime, mke wa Mungu ni nani mpaa Yesu awe ni mtoto wake?

Ukisema mtu ni mtoto wa flani lazima uwe una hakika Mungu ana Gender tuonyesheni basi na sura yake yuko vipi πŸ˜„

Ukristo ni dini ya ushetani tu Paulo alipewa utume na nani? Au wapi Yesu alisema yeye ni mkristo.
 
Ingekua huku kwenye nchi zetu wangesema udini
 
Kuna sababu kwanini mtu hadi awe padri inachukua miaka mingi sana,,,ukristo ukiuchukulia kwa stori za juujuu hasa kimwili utatoka kapa,,,,,,Yesu ni code.,,tuishie hapa kwa leo
Hamna lolote nyie ikiwa bibilia zenu hazijui hata vipi Yesu kazaliwa mpaa Qur'an ndio ikaja waeleza.

Bibilia mara iseme Yesu ni Mungu, Mara ni Mtoto wa Mungu mara Mtume mara Mwalimu πŸ˜†


Afu badri ndio aje alete elimu zaidi ya bibilia au kila padri ana bibilia yake πŸ˜„
 
Magaidi wote wanafadhiliwa na mataifa ya magharibi,jifunze tu hapo msumbiji baada kugundua gesi na mfaransa kuwa mwekezaji mkubwa nini kilifuata
Nani anafadhili Muslim Brotherhood?
 
Wakristo kina nani ?

Yesu kapigana vita gani ? Maana Yesu ndie mwenye ukristo wake
Hapana. Yeye ni Yesu Kristo. Wafuasi wake sisi ndiyo Wakristo. Neno christ linamaanisha "anointed" au aliyebatizwa Usipotoshe
 
Japo nimekosea kuwataja Muslim Brotherhood lakini waliomuua Sadat ni kikundi kingine cha kijihad ya kiislamu (Egyptian Islamic Jihad)

 
Hatumpiganii Mungu bali tunapigania imani yetu.
Ndio maana waislam tuna imani thabiti kuliko ninyi ambao Mungu wenu(Yesu)alikufa kisa madhambi yenu mliomkosea.
Kwanini upiganie imani? Imani ya kweli inapigana yenyewe. Je nabii wenu yuko wapi?
 
Ukiacha kugonga kichwa sakafuni na kuelekeza matako juu utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…