Magaidi wote wanafadhiliwa na mataifa ya magharibi,jifunze tu hapo msumbiji baada kugundua gesi na mfaransa kuwa mwekezaji mkubwa nini kilifuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magaidi wote wanafadhiliwa na mataifa ya magharibi,jifunze tu hapo msumbiji baada kugundua gesi na mfaransa kuwa mwekezaji mkubwa nini kilifuata
Wakristo pia wamepigana sana vita vya msalaba na vita zao wamemwaga damu sana kuliko hata hizo vita za Muhammad,,,,,fatilia historia ya templars na crusade zao
View attachment 3040390
Hizi dini zote mambo yao ni yaleyale,,,,ishu tu wanapishana kila mtu ana mbinu zake
Na sasa Rwanda amejiweka hapo........yaleyale ya M23 DRC, TOTAL (FRANCE) + KAGAME (RDF)..........wamecheza changa la macho na wale magaidi wa msumbiji na kibiti wote wanalishwa na mkono mmoja.........hii michezo wameifanya sana mashariki ya kati na maeneo ya SahelMagaidi wote wanafadhiliwa na mataifa ya magharibi,jifunze tu hapo msumbiji baada kugundua gesi na mfaransa kuwa mwekezaji mkubwa nini kilifuata
Na gaidi lazima awe muislamuMuislam wa kweli hawezi kuwa gaidi na gaidi wa kweli hawezi kuwa muislam
Baba yenu mrumi,,,,maana kwa asilimia 100 wakristo wa africa hasa hapa bongo hata uwe dhehebu lipi wote mmetoka ubavuni kwa mrumi,,,,,,ni wa orthodox pekee hawajatoka ubavuni kwa warumi na kwa Africa sehem pekee walipokua tokea zamani ni Ethiopia na Egypt tu,,, hizo kelele zenu za Taifa teule ni matokeo ya hizo vita za msalaba za mrumiWakristo kina nani ?
Yesu kapigana vita gani ? Maana ndio mwenye ukristo wake
Wakristo wengi huwa wanachuki sana na Uislam sababu mungu wa wakristo amekufa, wanasema alikufa kwa kubeba dhambi zao, wanasema alikufa akazikwa Jerusalem ili unabii utimie, hapo wanakiri alikuwa mtume, na wengine wanasema kapaishwa wengine wanasema mungu wao alilala usingizi.
Jawabu liko hapa Mungu halali hata kidogo, Yesu alilala, Mungu hafi Yesu kafa, Mungu hasaidiwi wala haombi msada Yesu alilia kumuomba Mungu
View: https://youtube.com/shorts/axIOAYwGBls?si=qpwdQNoPlI7xB0Q5
Wakristo wengi huwa wanachuki sana na Uislam sababu mungu wa wakristo amekufa, wanasema alikufa kwa kubeba dhambi zao, wanasema alikufa akazikwa Jerusalem ili unabii utimie, hapo wanakiri alikuwa mtume, na wengine wanasema kapaishwa wengine wanasema mungu wao alilala usingizi.
Jawabu liko hapa Mungu halali hata kidogo, Yesu alilala, Mungu hafi Yesu kafa, Mungu hasaidiwi wala haombi msada Yesu alilia kumuomba Mungu
View: https://youtube.com/shorts/axIOAYwGBls?si=qpwdQNoPlI7xB0Q5
Hata magaidi ya humu JF hayana nafasiDelhi: A court in the United Arab Emirates Wednesday convicted 53 defendants after finding them guilty of terror offences, with punishments ranging from fines of up to AED 20 million ($5.4 million) to life imprisonment.
The defendants, according to local media, are leaders or members of the religiopolitical outfit Muslim Brotherhood, which was designated as a terrorist organisation by the UAE in 2014.
Tusifanganyane, hakuna mtu anapenda ugaidi duniani. Njoo Mohamed Said na FaizaFoxy muwatetee. Maana mnajifanya nyinyi ni Waisalmu kuliko Waislamu wenyewe
We jamaa ni MUONGO!Hawa 53 ni Muslim Brotherhood hawana uhusiano na unachokisema. Na hili kundi liko toka 1920s huko Misri. Ndiyo walimuua Egyptian Prime Minister Mahmud El Nokrashi mwaka 1948. Na ndipo Gamal Abdel Nasser akawapiga marufuku. Alipokufa Nasser miaka ya mwishoni mwa 1960s alaingia Anwar Sadat, yeye akawaruhusu wafanye harakati zao. Naye wakamuua mwaka 1981.
Mubarak alipochukua akawapiga marufuku. Hatimaye baada ya Arab Spring naye Mubarak akatolewa mwaka 2012. Ndipo akaja Mohamed Morsi ambaye alikuwa ni member wa Muslim Brotherhood. Kwa muda mfupi alitaka kuharibu nchi, lakini jeshi likamuwahi na kumpindua. Ndipo Al Sisi alipokamata madaraka akawapiga marufuku pia hawa Muslim Brotherhood. Na ndiyo utulivu umepatikana
The Society of the Muslim Brothers is a transnational Sunni Islamist organization founded in Egypt by Islamic scholar and schoolteacher Hassan al-Banna in 1928. Al-Banna's teachings spread far beyond Egypt, influencing today various Islamist movements from charitable organizations to political parties
Hatumpiganii Mungu bali tunapigania imani yetu.Kuna tofauti kati ya Mungu tunayemuabudu Wakristo na huyo Allah wenu.
Mungu wetu sisi anatupigania, ila nyinyi Allah wenu nyinyi ndiyo mnampigania
Baba yenu mrumi,,,,maana kwa asilimia 100 wakristo wa africa hasa hapa bongo hata uwe dhehebu lipi wote mmetoka ubavuni kwa mrumi,,,,,,ni wa orthodox pekee hawajatoka ubavuni kwa warumi na kwa Africa sehem pekee walipokua tokea zamani ni Ethiopia na Egypt tu,,, hizo kelele zenu za Taifa teule ni matokeo ya hizo vita za msalaba za mrumi
Nyie aliewaletea huo ukristo huku ni warumi,,, hakuna mtakatifu aliefika huku,,,ndo maana hata dini yenyewe ni zao la ukoloni,,,asingekuja mkoloni hadi leo msingeujua huko ukristo,,,ukristo pure wamebaki nao wa orthodox, hata hapo Ethiopia walifika mitume wa yesu ndo maana version yao ya ukristo ni tofauti na huu ulioletwa na ukoloni, asilimia kubwa ya ukristo ulioletwa na ukoloni umejaa propaganda za ma zionist na warumiHiyo unatunga wewe.
Wakristo ni neno la kifupi. Maana yake ni wafuasi wa yesu kristo.
Yesu ndie baba wa ukristo.
Mtume muhammad ndie baba wa uisilamu
Yote ni partner in crime, mke wa Mungu ni nani mpaa Yesu awe ni mtoto wake?No offense huelewi hata ukristo ukoje, Yesu ni mwana wa Mungu ila si Mungu
Ingekua huku kwenye nchi zetu wangesema udiniDelhi: A court in the United Arab Emirates Wednesday convicted 53 defendants after finding them guilty of terror offences, with punishments ranging from fines of up to AED 20 million ($5.4 million) to life imprisonment.
The defendants, according to local media, are leaders or members of the religiopolitical outfit Muslim Brotherhood, which was designated as a terrorist organisation by the UAE in 2014.
Tusifanganyane, hakuna mtu anapenda ugaidi duniani. Njoo Mohamed Said na FaizaFoxy muwatetee. Maana mnajifanya nyinyi ni Waisalmu kuliko Waislamu wenyewe
Hamna lolote nyie ikiwa bibilia zenu hazijui hata vipi Yesu kazaliwa mpaa Qur'an ndio ikaja waeleza.Kuna sababu kwanini mtu hadi awe padri inachukua miaka mingi sana,,,ukristo ukiuchukulia kwa stori za juujuu hasa kimwili utatoka kapa,,,,,,Yesu ni code.,,tuishie hapa kwa leo
Japo nimekosea kuwataja Muslim Brotherhood lakini waliomuua Sadat ni kikundi kingine cha kijihad ya kiislamu (Egyptian Islamic Jihad)We jamaa ni MUONGO!
Anwar Sadat hajauliwa na Muslim Brotherhood.
Assassination yake ilifanywa na kiongozi aliyemfuatia kwa kumtumia moja kati ya askari wake,na hata Gaddafi alikemea hili.
Kumekua na mapinduzi ya kijeshi hapo Misri ambayo hayahusiani na Muslim brotherhood.
Hiyo Elsisi alimpindua Morsi kwa usaidizi wa USA,na hilo lilifuatia baada ya kuonekana Morsi alikua akizidi kuchochea chuki dhidi ya Israel na akiwaunga mkono sana Hamas.
Usitudanganye hapa.
Kwanini upiganie imani? Imani ya kweli inapigana yenyewe. Je nabii wenu yuko wapi?Hatumpiganii Mungu bali tunapigania imani yetu.
Ndio maana waislam tuna imani thabiti kuliko ninyi ambao Mungu wenu(Yesu)alikufa kisa madhambi yenu mliomkosea.
Ukiacha kugonga kichwa sakafuni na kuelekeza matako juu utaelewaYote ni partner in crime, mke wa Mungu ni nani mpaa Yesu awe ni mtoto wake?
Ukisema mtu ni mtoto wa flani lazima uwe una hakika Mungu ana Gender tuonyesheni basi na sura yake yuko vipi 😄
Ukristo ni dini ya ushetani tu Paulo alipewa utume na nani? Au wapi Yesu alisema yeye ni mkristo.