Quran inamuongelea mtu tofauti mnayemuita Issa ambaye alizaliwa chini ya mti. Biblia inamuongeleΓ Yesu aliyezaliwa kwenye hori la ng'ombe. Hawa ni watu wawili tofautiHamna lolote nyie ikiwa bibilia zenu hazijui hata vipi Yesu kazaliwa mpaa Qur'an ndio ikaja waeleza.
Bibilia mara iseme Yesu ni Mungu, Mara ni Mtoto wa Mungu mara Mtume mara Mwalimu π
Afu badri ndio aje alete elimu zaidi ya bibilia au kila padri ana bibilia yake π
Imani inawezaje kuwa thabiti kama sio kuipigania!?Kwanini upiganie imani? Imani ya kweli inapigana yenyewe. Je nabii wenu yuko wapi?
Ugaidi na dini ya ishmael ni uji na mgonjwa, watakataa kwa kujisafisha ila mioyoni mwao wanajua hilo na wakiwa wenyewe utakuta wakipongeza matenda ya hao magaidi.Delhi: A court in the United Arab Emirates Wednesday convicted 53 defendants after finding them guilty of terror offences, with punishments ranging from fines of up to AED 20 million ($5.4 million) to life imprisonment.
The defendants, according to local media, are leaders or members of the religiopolitical outfit Muslim Brotherhood, which was designated as a terrorist organisation by the UAE in 2014.
Tusifanganyane, hakuna mtu anapenda ugaidi duniani. Njoo Mohamed Said na FaizaFoxy muwatetee. Maana mnajifanya nyinyi ni Waisalmu kuliko Waislamu wenyewe
Kila mmoja na mchezo wake wewe ni coach kabisa, nilisema ukiwa wa kanisani lazima uwe umezowea mchezo huo πUkiacha kugonga kichwa sakafuni na kuelekeza matako juu utaelewa
Huyo Khalid alikua ana mlengo wa kisiasa ila yeye ndiye aliyewatumia hao Jihadist kwa kuwalaghai kuwa Saddat kaisaliti Arab spring kwa kusaini mkataba wa CAMP DAVID.Japo nimekosea kuwataja Muslim Brotherhood lakini waliomuua Sadat ni kikundi kingine cha kijihad ya kiislamu (Egyptian Islamic Jihad)
View attachment 3040647
I C kumbe Yesu alizaliwa kwenye zizi la ngo'mbe, mme mdharaulisha sana si bora mgeficha huo ujinga.Quran inamuongelea mtu tofauti mnayemuita Issa ambaye alizaliwa chini ya mti. Biblia inamuongeleΓ Yesu aliyezaliwa kwenye hori la ng'ombe. Hawa ni watu wawili tofauti
And vice versa!!!Muislam wa kweli hawezi kuwa gaidi na gaidi wa kweli hawezi kuwa muislam
Mbona UMEROPOKA aisee we jamaa!?Ukililea Joka lazima mwisho wa siku likumeze mwenyewe.
Kitabu chao kina mtume wao mmoja tu.
Lakini kila siku wanakomaa kuwa Manabii wote wa dini ya Kiyahudi na Kikristo ni Manabii wao.
Ukiwauliza mnafata mafundisho mafundisho yao yepi, hawana hata moja.
Hawashiki Sabato wala Kubatizwa.
Wamefikia kusema Bibila ni kitabu chao pia.
Nadhani wanasumbuliwa na ugonjwa wa Epidomia.
Muislam jina!Maandiko hayaongopi Yana jibu.
Osama sio muislam yule ni kafiri aliyejificha kwenye dini baada ya kukosana na bwana wake USA
Muslim Brotherhood wamepachikwa jina la ugaidi kwasababu ya kisiasa.Nani anafadhili Muslim Brotherhood?
Endeleeni na mahaba yenu ya dini za majahazi sie tumerudi kwenye miti yetu pambaneniHamna lolote nyie ikiwa bibilia zenu hazijui hata vipi Yesu kazaliwa mpaa Qur'an ndio ikaja waeleza.
Bibilia mara iseme Yesu ni Mungu, Mara ni Mtoto wa Mungu mara Mtume mara Mwalimu π
Afu badri ndio aje alete elimu zaidi ya bibilia au kila padri ana bibilia yake π
Mbona UMEROPOKA aisee we jamaa!?
Nani kakwambia uislamu unaitambua biblia!?
Uislamu unaitambua injili,torat na Zaburi.
Na kila kitabu kilitumika zama zake,inamaana zama hizi ni zama za Muhammad,wale kina Daud,Issa na Mussa ni mitume ya Mungu na tunatakiwa tusadikishe kuwa ni mitume ya Mungu,ila zama zetu mtume wetu ni Muhammad(s.a.w).
Huwenda una shida ya uelewa,usiropoke uliza uelezewe.
Unaweza kunionesha hizo Torati , Injiri na Zaburi mnazo zitambua zilipo ?Mbona UMEROPOKA aisee we jamaa!?
Nani kakwambia uislamu unaitambua biblia!?
Uislamu unaitambua injili,torat na Zaburi.
Na kila kitabu kilitumika zama zake,inamaana zama hizi ni zama za Muhammad,wale kina Daud,Issa na Mussa ni mitume ya Mungu na tunatakiwa tusadikishe kuwa ni mitume ya Mungu,ila zama zetu mtume wetu ni Muhammad(s.a.w).
Huwenda una shida ya uelewa,usiropoke uliza uelezewe.
Kama ulivosema ni "Hoja"Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?
Nimezungumzia uislamu.Un
Unaweza kunionesha hizo Torati , Injiri na Zaburi mnazo zitambua zilipo ?
Huyo Muhamadi ni Nabii wenu na sio wetu.
Na hatumtambui, tungemtambua tungemweka kwenye Biblia baada ya Injiri.
Warastafariani Nabii wao wa Mwisho ni Mtume Haile Selasie na alikuja baada ya Muhammadi.
Hivyo kwao Haile ndiye Nabii wao wa Mwisho.
Warastafariani pia wanawatambua Manabii wa Torati, Zaburi na Injiri na wa mwisho ni Nabii Selasie.
Ni kama Wamomorni, nao wanawatambua Manabii wote wa kwenye Biblia na Nabii wao wa Mwisho ni Mormoni aliyekuja baada ya Muhammadi.
Katu siwezi kuufananisha Uislamu na dini nyingine yoyote ile.Nimezungumzia uislamu.
Mbona unajichanganya mazeeh!?
Kwani nimesema zama zenu ama zama zetu waislamu!?
ππππAisee mkuu vipi!?
Hapa tunazungumzia uislamu ama dini ya marasta!?
Kwa mujibu wa uislamu mtume wetu wa mwisho ni Muhammad(s.a.w).
Wewe unaweza ukaleta hayo maandiko ya rastafariani ya wao kuamini torat,Zaburi na injili!!?
Usifananishe uislamu na dini yenu.
You're ignorant, you can't understand the person of "Jesus"Hamna lolote nyie ikiwa bibilia zenu hazijui hata vipi Yesu kazaliwa mpaa Qur'an ndio ikaja waeleza.
Bibilia mara iseme Yesu ni Mungu, Mara ni Mtoto wa Mungu mara Mtume mara Mwalimu π
Afu badri ndio aje alete elimu zaidi ya bibilia au kila padri ana bibilia yake π
Wapi ulinikamata nipe dalili zako kwanza wewe una Multiple users ndio mana unachanganyikiwa.You're ignorant, you can't understand the person of "Jesus"
Wewe nimekukamata mara nyingi sana nimekubananisha kweny kona huwaga unanikimbiaga.
It's pointless educating you.
Vikundi vya kimagharibi na mazayuni yaliyolaaniwa wanapaswa kuuawa, hivyo UAE amefanya maamuzi sahihiMuislam wa kweli hawezi kuwa gaidi na gaidi wa kweli hawezi kuwa muislam
Hao Muslim Brotherhood 53 waliofungwa hapo UAE ni Wamarekani, Waisrael na Waingereza na dini yao ya makafiri?Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?