Mahakama ya UAE imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha waislamu wa siasa kali 53 kwa makosa ya ugaidi

Hamna lolote nyie ikiwa bibilia zenu hazijui hata vipi Yesu kazaliwa mpaa Qur'an ndio ikaja waeleza.

Bibilia mara iseme Yesu ni Mungu, Mara ni Mtoto wa Mungu mara Mtume mara Mwalimu 😆

Afu badri ndio aje alete elimu zaidi ya bibilia au kila padri ana bibilia yake 😄
Quran inamuongelea mtu tofauti mnayemuita Issa ambaye alizaliwa chini ya mti. Biblia inamuongeleà Yesu aliyezaliwa kwenye hori la ng'ombe. Hawa ni watu wawili tofauti
 
Kwanini upiganie imani? Imani ya kweli inapigana yenyewe. Je nabii wenu yuko wapi?
Imani inawezaje kuwa thabiti kama sio kuipigania!?
Si ndio mwanzo wa kuwa na waumini wanafiki kama wa dini yenu!?
Thamani ya kitu huonekana pale inapopiganiwa.
Nabii wetu keshafariki Muhammad(s.a.w),unamuulizia nini!?
 
Delhi: A court in the United Arab Emirates Wednesday convicted 53 defendants after finding them guilty of terror offences, with punishments ranging from fines of up to AED 20 million ($5.4 million) to life imprisonment.

The defendants, according to local media, are leaders or members of the religiopolitical outfit Muslim Brotherhood, which was designated as a terrorist organisation by the UAE in 2014.

Tusifanganyane, hakuna mtu anapenda ugaidi duniani. Njoo Mohamed Said na FaizaFoxy muwatetee. Maana mnajifanya nyinyi ni Waisalmu kuliko Waislamu wenyewe
Ugaidi na dini ya ishmael ni uji na mgonjwa, watakataa kwa kujisafisha ila mioyoni mwao wanajua hilo na wakiwa wenyewe utakuta wakipongeza matenda ya hao magaidi.
 
Ukililea Joka lazima mwisho wa siku likumeze mwenyewe.
Kitabu chao kina mtume wao mmoja tu.
Lakini kila siku wanakomaa kuwa Manabii wote wa dini ya Kiyahudi na Kikristo ni Manabii wao.
Ukiwauliza mnafata mafundisho mafundisho yao yepi, hawana hata moja.
Hawashiki Sabato wala Kubatizwa.

Wamefikia kusema Bibila ni kitabu chao pia.
Nadhani wanasumbuliwa na ugonjwa wa Epidomia.
 
Quran inamuongelea mtu tofauti mnayemuita Issa ambaye alizaliwa chini ya mti. Biblia inamuongeleà Yesu aliyezaliwa kwenye hori la ng'ombe. Hawa ni watu wawili tofauti
I C kumbe Yesu alizaliwa kwenye zizi la ngo'mbe, mme mdharaulisha sana si bora mgeficha huo ujinga.

Wapi ni bora uzaliwe chini ya mti au kwenye zizi la ngo'mbe

Afu huyo mungu wenu hana aibu mpaa mtoto wake amdhalilishe vile mara kazaliwa kwenye zizi la ngo'mbe mara mtoto wake kapigiliwa msalabani poleni sana.
 
Ukililea Joka lazima mwisho wa siku likumeze mwenyewe.
Kitabu chao kina mtume wao mmoja tu.
Lakini kila siku wanakomaa kuwa Manabii wote wa dini ya Kiyahudi na Kikristo ni Manabii wao.
Ukiwauliza mnafata mafundisho mafundisho yao yepi, hawana hata moja.
Hawashiki Sabato wala Kubatizwa.

Wamefikia kusema Bibila ni kitabu chao pia.
Nadhani wanasumbuliwa na ugonjwa wa Epidomia.
Mbona UMEROPOKA aisee we jamaa!?
Nani kakwambia uislamu unaitambua biblia!?
Uislamu unaitambua injili,torat na Zaburi.
Na kila kitabu kilitumika zama zake,inamaana zama hizi ni zama za Muhammad,wale kina Daud,Issa na Mussa ni mitume ya Mungu na tunatakiwa tusadikishe kuwa ni mitume ya Mungu,ila zama zetu mtume wetu ni Muhammad(s.a.w).
Huwenda una shida ya uelewa,usiropoke uliza uelezewe.
 
Maandiko hayaongopi Yana jibu.
Osama sio muislam yule ni kafiri aliyejificha kwenye dini baada ya kukosana na bwana wake USA
Muislam jina!

Unaujua ukuu wa Osama kwenye umma wa kiislam au unajiongelea tu,wewe unataka kusema hapa unaujua huo uislam kuliko alivyokuwa anaujua Usama?
 
Nani anafadhili Muslim Brotherhood?
Muslim Brotherhood wamepachikwa jina la ugaidi kwasababu ya kisiasa.
Ni kama PLO kipindi cha Yasser Arafat walivyoitwa magaidi ilhali hawakushika bastola kipindi wanaitwa magaidi.
 
Hamna lolote nyie ikiwa bibilia zenu hazijui hata vipi Yesu kazaliwa mpaa Qur'an ndio ikaja waeleza.

Bibilia mara iseme Yesu ni Mungu, Mara ni Mtoto wa Mungu mara Mtume mara Mwalimu 😆

Afu badri ndio aje alete elimu zaidi ya bibilia au kila padri ana bibilia yake 😄
Endeleeni na mahaba yenu ya dini za majahazi sie tumerudi kwenye miti yetu pambaneni
 
Un
Mbona UMEROPOKA aisee we jamaa!?
Nani kakwambia uislamu unaitambua biblia!?
Uislamu unaitambua injili,torat na Zaburi.
Na kila kitabu kilitumika zama zake,inamaana zama hizi ni zama za Muhammad,wale kina Daud,Issa na Mussa ni mitume ya Mungu na tunatakiwa tusadikishe kuwa ni mitume ya Mungu,ila zama zetu mtume wetu ni Muhammad(s.a.w).
Huwenda una shida ya uelewa,usiropoke uliza uelezewe.
Mbona UMEROPOKA aisee we jamaa!?
Nani kakwambia uislamu unaitambua biblia!?
Uislamu unaitambua injili,torat na Zaburi.
Na kila kitabu kilitumika zama zake,inamaana zama hizi ni zama za Muhammad,wale kina Daud,Issa na Mussa ni mitume ya Mungu na tunatakiwa tusadikishe kuwa ni mitume ya Mungu,ila zama zetu mtume wetu ni Muhammad(s.a.w).
Huwenda una shida ya uelewa,usiropoke uliza uelezewe.
Unaweza kunionesha hizo Torati , Injiri na Zaburi mnazo zitambua zilipo ?
Huyo Muhamadi ni Nabii wenu na sio wetu.
Na hatumtambui, tungemtambua tungemweka kwenye Biblia baada ya Injiri.
Warastafariani Nabii wao wa Mwisho ni Mtume Haile Selasie na alikuja baada ya Muhammadi.
Hivyo kwao Haile ndiye Nabii wao wa Mwisho.
Warastafariani pia wanawatambua Manabii wa Torati, Zaburi na Injiri na wa mwisho ni Nabii Selasie.
Ni kama Wamormoni, nao wanawatambua Manabii wote wa kwenye Biblia na Nabii wao wa Mwisho ni Mormoni aliyekuja baada ya Muhammadi.
 
Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?
Kama ulivosema ni "Hoja"
Has it be proven??
 
Un
Unaweza kunionesha hizo Torati , Injiri na Zaburi mnazo zitambua zilipo ?
Huyo Muhamadi ni Nabii wenu na sio wetu.
Na hatumtambui, tungemtambua tungemweka kwenye Biblia baada ya Injiri.
Warastafariani Nabii wao wa Mwisho ni Mtume Haile Selasie na alikuja baada ya Muhammadi.
Hivyo kwao Haile ndiye Nabii wao wa Mwisho.
Warastafariani pia wanawatambua Manabii wa Torati, Zaburi na Injiri na wa mwisho ni Nabii Selasie.
Ni kama Wamomorni, nao wanawatambua Manabii wote wa kwenye Biblia na Nabii wao wa Mwisho ni Mormoni aliyekuja baada ya Muhammadi.
Nimezungumzia uislamu.
Mbona unajichanganya mazeeh!?
Kwani nimesema zama zenu ama zama zetu waislamu!?
😂😂😂😂Aisee mkuu vipi!?
Hapa tunazungumzia uislamu ama dini ya marasta!?
Kwa mujibu wa uislamu mtume wetu wa mwisho ni Muhammad(s.a.w).
Wewe unaweza ukaleta hayo maandiko ya rastafariani ya wao kuamini torat,Zaburi na injili!!?
Usifananishe uislamu na dini yenu.
 
Katu siwezi kuufananisha Uislamu na dini nyingine yoyote ile.
Muhamadi alisema yeye ana dini yake na wengine Wana Dini yao, na haabudu wanayemwabudu.
Ninyi mna Dini na Mungu wenu wa peke yenu.
Mnaye mtaja taja na kumwimba kila asubuhi.
 
Hamna lolote nyie ikiwa bibilia zenu hazijui hata vipi Yesu kazaliwa mpaa Qur'an ndio ikaja waeleza.

Bibilia mara iseme Yesu ni Mungu, Mara ni Mtoto wa Mungu mara Mtume mara Mwalimu 😆

Afu badri ndio aje alete elimu zaidi ya bibilia au kila padri ana bibilia yake 😄
You're ignorant, you can't understand the person of "Jesus"

Wewe nimekukamata mara nyingi sana nimekubananisha kweny kona huwaga unanikimbiaga.

It's pointless educating you.
 
Wapi ulinikamata nipe dalili zako kwanza wewe una Multiple users ndio mana unachanganyikiwa.

God stated in the Quran: “Say O Muslims: We believe in Almighty God, and that which has been revealed to us, and that which has been revealed to Abraham, Ishmael, Isaac, Jacob and to the Tribes of Israel, and that which has been given to Moses and Jesus, and that which has been given to the Prophets from their Lord. We do not discriminate against any of them, and to Him (the one true God) we have submitted.”(Qur'an 2:136)
 
Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?
Hao Muslim Brotherhood 53 waliofungwa hapo UAE ni Wamarekani, Waisrael na Waingereza na dini yao ya makafiri?

Kwamba Waislamu ni wapumbavu na vilaza kila wanaloambiwa wanafanya, basi nami nawaambia kula nguruwe kuleni tuone. Maovu yafanywe na Abdulrahman, lawama apewe George eti kashawishi.
 
Back
Top Bottom