Mahakama ya UAE imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha waislamu wa siasa kali 53 kwa makosa ya ugaidi

Uongo uliotukuka aya nyingi ni chuki dhidi ya non muslim Allah anasema yeye ni adui wa wasio waislam.. na hiyo quran 60:8 jamaa anadai eti hii ilikuwa wakati wa Vita hahaha Vita vyote vya Uislam wameanzisha wao.. ilifikia wakati Mudy anawaambia Waislam wakawapige vita waitaliano ili wawapate wanawake wao wenye nywele za Dhahabu.. waislam walishangazwa na kitombi Mudy yaani genye zikimshika tu anaanzisha vita
 
Nyie mafala kweli bibilia zenu zinasema Mungu ni kahaba Isaya. 23.17

Hivi mko sawa

Kuhusu kusema Aya nyingi ni chuki tupe Aya zinasema vipi uanzie kabla na bada sio unchukua sehemu wako vitani wanauliwa na makafiri ulitaka wawape mauwa au.
 
Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?
SIO KWELI.

Kama hiyo hoja ni ya kweli mbona huwa hawaweki ushahidi hapa
 
Nyie mafala kweli bibilia zenu zinasema Mungu ni kahaba Isaya. 23.17

Hivi mko sawa

Kuhusu kusema Aya nyingi ni chuki tupe Aya zinasema vipi uanzie kabla na bada sio unchukua sehemu wako vitani wanauliwa na makafiri ulitaka wawape mauwa au.
Huna ubavu wa kueleza Aya za Biblia.
Mna maandiko matatu ambayo hamyaelewi na hamtaki kuyaelewa.

Biblia sio kama Qurani yenu ambayo Aya hii inasema hivi na ile inasema vingine.

Lingine ni lile la enyi Wagaratia msio kuwa na akili na lile la Waandishi walio iharibu Torati ya Musa.
Niulize mimi nikupe usahihi wa hayo maneno kwani nimeisoma Biblia na kuielewa.
 
Binafsi ninaamini kuna nguvu inayoendesha dunia tusiyoiona kwa macho ila napinga dini moja kujiona ina haki dhidi ya nyingine hapa naongelea dini hizi za kuletewa ( Uislam = Muarabu na Ukristo= Mrumi).Dini zote ukisoma maandiko ( Biblia na Quran) zina mapungufu.

Mfano mdogo agano la kale halipingwi na Uislam wala Ukristo wote wanamtambua nabii Abraham(Ibrahim) kama mtume, hivyo kila alichofanya ni sawa kwa pande zote, zama Abraham(Ibrahim) kulikuwa na sadaka ya kuteketeza, ndio maana hakuona ajabu alipoagizwa kumtoa mwanae wa pekee, lakini swali langu kwa Waislamu ni kwanini siku hizi hakuna tena sadaka ya kuteketeza?
Je kuna maagizo mapya! Ikiwa kuna maagizo mapya je Mungu anabadilika, maelekezo ya sadaka ya kuteketeza kwenye agano la kale ambalo linaiingiliana na Quran yalitoka wapi? Ikiwa sasa hivi hayapo na hayarusiwi je waliotangulia waliyatoa wapi na kwanini hayapo tena?
 
Wewe una sound kama terrorist brotherhood
 
Hao mahakimu ni wagalatia
 
Imani inawezaje kuwa thabiti kama sio kuipigania!?
Si ndio mwanzo wa kuwa na waumini wanafiki kama wa dini yenu!?
Thamani ya kitu huonekana pale inapopiganiwa.
Nabii wetu keshafariki Muhammad(s.a.w),unamuulizia nini!?
Nabii wenu alikuwa bedui halafu pedophile
 
Haina shida, huyo huyo ndiye mwokozi wetu
 
Muslim Brotherhood wamepachikwa jina la ugaidi kwasababu ya kisiasa.
Ni kama PLO kipindi cha Yasser Arafat walivyoitwa magaidi ilhali hawakushika bastola kipindi wanaitwa magaidi.
Waarabu wenyewe wamewapiga matufuku Muslim Brotherhood kwa harakati zao za kigaidi. Lakini wewe mwarabu koko wa Buza unasema siyo magaidi. Aibu
 
Turudi kwenye mada
 
Sawa. Lakini kuna hoja kuwa hayo makundi yameundwa na/au kuwezeshwa na vyombo by kijasusi vya kimagharibi hususan CIA, MI6 na hata Mossad ya Israel. Hivyo hayawakilishi Waislamu wala Uislam. Unaonaje hili?
Unaweza ukadhibitisha!!
Hii ni excuse ya kuendeleza ugaidi kwaiyo vikundi vya dunia nzima sponsor ni wao
 
Muslimin brotherhood + ugaidi
 
Muslimin brotherhood + ugaidi
 
Muslimin brotherhood + ugaidi
 
Muslim brotherhood + ugaidi
 
Waarabu wenyewe wamewapiga matufuku Muslim Brotherhood kwa harakati zao za kigaidi. Lakini wewe mwarabu koko wa Buza unasema siyo magaidi. Aibu
Kwani PLO ya kina Yasser Arafat 1967 hawakuitwa magaidi na waarabu wenzao!?
Je waliendesha harakati zipi za ugaidi zaidi ya wao kudai Palestina itambulike UN kama taifa huru!?
Hao waarabu wanafiki sana,hata Al-Jazeera waliita chombo cha habari cha magaidi na wakikifungia matangazo nchi Mathalan Egypt,Saudi Arabia,Jordan,UAE cha ajabu Al-Jazeera imetambulika na kukubalika dunia nzima kiasi ikapata tuzo za kimataifa ya chombo bora cha habari.
Hao waarabu wakishaona maslahi baina yao na wazungu yanaguswa basi wanakubadilikia.
Huwa hawana msimamo kabisa hao.
Palestina hiyo hiyo wanaojinasibu kuitetea muasisi wake wa utetezi walimuita gaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ