secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Jamaa kafanana na Emmanuel Adebayo kinoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walienda kulitambikia ili kuwaloga wakongo kila siku wawe wanaumana, sio unaona wanaumana kila siku vita haziishi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Utan tu. Ila ata kwa mzungu napo kuna ushirikina
Ndio huko hukoUbelgiji si ndo uku alikokuwa Tundu Lissu
Ubelgiji washenzi sanaBacongoman bhana wanafurahi kurudishiwa jino wakati kuna Almasi yao na dhahabu kibao huku Ubelgiji.
Vita haiwez kuisha maana hule ni mpango wa watu na kadri vita inavyoendelea ndivyo wanavyo faidika zaid . Uongozi usio imara na kujitambua hii nayo pia nitatzo.Ushirikina upo huko pia.
Ila hicho ulichoandika japo kiutani lakini inauma sana yani Congo kuna rasilimali tele lkn ni maskini wa kutosha. Wamekalia vita tu kila siku huku rasilimali zikichotwa na wajanja.
Afrika tuna shida ila DRC ni too much hasa upande wa mashariki mwa nchi. Vikundi vya waasi lukuki mara utasikiaVita haiwez kuisha maana hule ni mpango wa watu na kadri vita inavyoendelea ndivyo wanavyo faidika zaid . Uongozi usio imara na kujitambua hii nayo pia nitatzo.
Umimi, uchu wa madaraka hiv ndio vinatuponza waafrika
Ukisikia vita vya panzi furaha kwa kunguru ndio Congo sasaAfrika tuna shida ila DRC ni too much hasa upande wa mashariki mwa nchi. Vikundi vya waasi lukuki mara utasikia
May may(majimaji)
M 23
Raia mtomboka
Waasi wa ADF kutoka Uganda
Huku wajanja wakichota mali.
Hapo haujazungumzia watu kufa kwa ajali kwenye vyombo vya majini kuzama.
Miundombinu hovyo(barabara)
Ebola.
Yaani ni tafrani.
Waliuwawa kwa kupigwa risasi, wakazikwa. Baada ya muda, miili yao ilifukuliwa, ikasambaratishwa na kumwagiwa sulfuric acid kupoteza ushahidi kabisa.Warudishe madini waliyoiba na uhai wa watu walioupoteza sio jino, sasa anarudisha jino mwili wa Mwenye jino haujulikani ulipo.
Askari anadai hawakumzika Bali walimtupa ktk tindikali kuufuta ushahidi na alama yake duniani. Ya Mungu mengi, Bado aliwaongoza kuchukua jino na ni alama tayari. Mazishi makubwa ya heshima kufanywa. Mungu mkubwaJino ni la Lumumba na lilichukuliwa na askari wakati wa mazishi yake
Na bado tunawaona ndio watu wanaotupenda kwa kutudanganya na tumisaada na tusamahan twaoWaliuwawa kwa kupigwa risasi, wakazikwa. Baada ya muda, miili yao ilifukuliwa, ikasambaratishwa na kumwagiwa sulfuric acid kupoteza ushahidi kabisa.
Sitashangaa nikisikia kiwa hata Nyerere walinyofoa viungo maana wazungu siwaelewi: fikiria watu wanabeba hata mifupa ya mijusiWashirikina wote tu. Jino la nn sasa?