Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma ya kesi kujulikana Septemba 6

Serikali inawapa kazi Sana Mawakili wake kutetea kesi za ajabu

Ifike mda mahakama waweke kipengele Cha lazima wakili kufika mahakamani na mke/ mme na watoto wao ,Ili waone ni jinsi gani wazazi wao wanavyotemeshwa nyongo Ili badae wanapoamua fuata fani za wazazi wao wawe wamejipanga na kuamua wenyewe, sio kuamuliwa na wazazi wao, maana chema hujizaa ila sio KILA wakati inategemea na mungu pia

Yani nifuatilia hii case upande wa serikali hamna kitu pale ,sio kwamba Mawakili wao wasomi sio wazuri ila tu kesi za uongo zinawapa tabu , that's unaona upande wa utetezi wko relaxed Sana, maana wanajua wanaenda wapi

Mnapakazia UGAIDI ,ndani ya taifa la mungu alafu mwafikili mtabaki Salama ,shame at you
 
Mbowe apewe Dhamana aende kuhani kwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikikumbuka ile mikwara yako ya wakati wa uchaguzi kwamba umeshaanda kidumu cha petrol na kwamba Lisu asiootangazwa unaenda kulipua sehemu, alafu nikiona leo hii mwamba wako yuko nyuma ya nondo na wewe uko nyuma keyboard najisemea kweli bavicha mna matatizo sana
 
Yeye alituma Mapolisi watupige nayeye akatumbuliwa na Mungu.
 
Haya ngoja tuone,haya mapingamizi ni makubwa,je watachomoka?
 
Kati ya vitu nimeshuhudia Leo kuwa Kuna watu wanaijua Sheria na wengine wanabebwa na katiba mbovu basi ni leo hii, maana sio kwa umombo ule uliojaa vocabulary za adabu za kisheria Hadi nikatamani kurudi shule loooh🙌🙌🙌🙌
Sheria si lugha pekee. Mwemye kuangaluia misamiati ni mshamba tu.
 

Umetisha Mkuu kwa kutuwekea mwenendo mzima wa kesi ilivyokuwa Leo 03 September 2021. Ndivyo inavyotakiwa kuripoti kesi ya kihistoria.

Ubarikiwe mkuu na vyanzo vyako vyote vya habari na taarifa vinaifanya JamiiForums kuzidi kuwa media inayokimbiliwa na wengi kwa habari za kina.
 
Asante!
 
sijui wanafikaje huko
 
😅😅😅wanalipwa mishahara
 
Ishu hapa Ni weledi na Independence of judge Luvanda. Otherwise, hii kitu iko wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…