Vijana wa kitanzania wamejikita kwenye uchawa kuwashabikia watesi wao,inasikitisha sana.Vijana wa kuandamana Tz ndio hawa kina Mwashambwa!
Vijana wa kuandamana Tz ndio hawa kina Mwashambwa!
Nilisahau! Asante kwa kunikumbusha😂Acha kumkebehi Luka mkaka akufanyae ung'are mjini.
Good jobWaandamanaji Kenya wamechoma mahakama ya ya Rufaa
Yaani wameamua kushambulia mihimili yote kuanzia Serikali,Bunge na Sasa mahakama
Inatisha
View: https://youtu.be/FsRoM6m2v_Y?si=x5G4YNvpDTDPVUfK
Uwe makini usije kosa mwana na maji ya moto.Nilisahau! Asante kwa kunikumbusha😂
Lucas Mwashambwa nisamehe
Ndiyo maana nchi haiendi mbeleVijana wa kitanzania wamejikita kwenye uchawa kuwashabikia watesi wao,inasikitisha sana.
Keyboard worrier ni wewe hapo usitujumuishe na wengineHapa kazi ipo sio sisi keyboard worrier
sawaKeyboard worrier ni wewe hapo usitujumuishe na wengine